Natafuta ajira ya kunitoa kimaisha.

Criss Alex

Senior Member
Apr 18, 2012
111
10
Halloo wana JF mimi ni kijana muhtimu wa kidato cha nne na nilifanikiwa kupata four ya 33 nikiwa na D mbili ya biology na chemistry, cnauwezo wa kujiendeleza kutokana na ugumu wa maisha unaonikabili. Cna baba niko na mama nayeye hanauwezo wa kuniendeleza, anategemea msaada wangu ili mdogo wangu aliyeko darasa la 6 akihtimu darasa la 7 na kuingia form 1 niweze kumsaidia. Hvyo naombeni msaada wenu wadau! Email; crissalex1@live.com. Au nipigie +255719665022. Au +255688355306.
 
Kuna nafasi za jeshi la magereza zimetangazwa,zitafute.
 
hebu cheki na zile kazi za magereza mkuu ukipata utakuwa unafanya kazi, utamsupport dogo pia unaweza kujiendeleza kimasomo :A S 41:
 
Mimi nina matatizo ya moyo so magereza itafupisha maisha yangu.

mkuu umeanza kuchagua tena! hatukulazimishi ila nawe pia utumie akili yako na utashi pia kuona kama kazi unayoshauriwa uombe itakufaa au la ,kila la kheri katika utafutaji
 
Wakuu ninamatatzo ya moyo kwa muda wa miaka mitatu tangu niko kidato cha pili!
 
Thanks brother b ut ukickia nafac yoyote ile inayonifaa please tell me my bro!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom