Natafuta ajira ya kufundisha sumbawanga au mbeya

Fungo N.

JF-Expert Member
May 20, 2011
252
43
wana jf naomba kwa yeyote mwenye taarifa ya shule inayohitaji mwl. wa history na kiswahili anipe taarifa hasa ktk mikoa ya mby na s wanga.Elimu bachelor BAED Asanteni
 
upo mkoa gani wewe? mbona sumbawanga walimu wanahitajika sana! kuna shule zina mwalimu mmoja tu! hivyo ukiitaji kazi ya kufundisha
 
ukiitaji kazi ya kufundisha nenda kwa mkurugenzi wa halmashauri unayotaka kufanya kazi! na hua walimu wenye nia kama yako wanalipwa na mfuko unaoitwa mwalimu nyerere foundation! wanalipwa zaidi ya Tsh. laki tano ya kuanzia maisha.
 
Weee....
Nlidhani nimepata mwalimu wa kuwafundisha wanafunzi wangu wa darasa la uchawi, kumbe nimegonga mwamba.!!!
Natafuta mwalimu wa uchawi.
 
sumbawanga ukitaka hata kuwa mwalimu mkuu fasta unapata, we wahi pale halimashauri ya sumbawanga vijijini (office zipo sumbawanga mjini-halimashauri) akupangie shule mojawapo zile za kata kwa kuanzia utakuwa academic masta
 
siku hiz halmashaur hazijaajiri,maombi yote ni sekretariet ya ajira,au wizara ya elimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom