Natafuta air condition split unit

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
wakuu poleni na maandalizi ya sikukuu!nilikua natafuta air condition split unit kwa ajili ya sitting room,huku uswazi kwangu joto limezidi hata wageni naogopa kuwakaribisha.Nilishwahi kuona mwana Jf mmoja alikua ananadi anazo anauza ila nimeitafuta hiyo post sijaiona tena.kwa hiyo kama kuna mwenye nayoa nayo anauza pls anijulishe tunene business
 
Pchichi,nieleze ni ya ukubwa gani au ukubwa wa chumba chako,na kama utaka B.new(1 yr warranty) au used(3month warranty) nitakueleza,dooh huko wapi ambapo saa hizi sehemu nyingi ni baridi kwako ni joto?Nieleze uangalie kama hizo bei zitakusaidia ukaribishe wakwe-ahaaaaaaaaaha.:A S crown-1:
 
Nipo dar Mzee!huku joto ni balaa tupu!nataka yenye 24 btu inanitosha kabisa mkuu!just nipatie price za new na used pia then nta compare,pia ningepata aina ya samsung ni nzuri zaidi kwani zinakuja na cables na pipes zake,kwa hizi zingine nadhan inatakiwa ununue tena pipes kwa ajili ya installation.

Asante mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom