natafta temporary

khauka

Senior Member
Jan 26, 2011
100
4
Helo wana JF, mi ni kijana wakiume umri 23 ni mwanafunzi wa chuo hapa dar natafta kazi ya temporary kwa mda wa mwezi 1 kuanzia jumatatu.. Kazi yoyote iliyo ya halali ilimradi nipate pesa kidogo yakujikim kwa mda huu walikizo.
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia please help.
 
Ninatafuta mtu wa kufagia zizi langu la nguruwe mara mbili kwa siku kama uko interested.
 
khauka mdogo wangu!!

mbona naona kama likizo yako ni ndogo sana kwa ww kutafuta kazi ya tempo??? bora ingekuwa hata miezi 3!! vumilia kidogo!!
 
nashkuru ndugu, naomba nijifikirie kamda kidogo wakat bado nawasikilizia wengine... Shukran
 
khauka mdogo wangu!!

mbona naona kama likizo yako ni ndogo sana kwa ww kutafuta kazi ya tempo??? bora ingekuwa hata miezi 3!! vumilia kidogo!!

Dah.. Mwezi unakua mrefu kidogo hasa pale unapokua huna ishu maalum yakufanya maana itafika kipindi ntaanza kugongea hadi vocha ya kuingia jamii forumz...
Asante kwa ushauri
 
Helo wana JF, mi ni kijana wakiume umri 23 ni mwanafunzi wa chuo hapa dar natafta kazi ya temporary kwa mda wa mwezi 1 kuanzia jumatatu.. Kazi yoyote iliyo ya halali ilimradi nipate pesa kidogo yakujikim kwa mda huu walikizo.
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia please help.

tulia nyumbani utengeneze shavu na upumzishe akili.
Jamaa una hasira na maisha, kamwezi tu unasaka tempo!
 
Nikweli unachosema, ila kukaa home bila kitu kua na shuhuli maalum ya kufanya sijazoea sijui itakuaje.
Asante kwa ushauri
 
mjifunze kufanya volunteering works kama unaona una elimu kazi huna nenda shule ya sekondari ujitolee kuwafundisha watoto ambao hawana waalimu kwenye area of ur specialization wao watakufikiria kukupa chochote cha kujikimu
 
Helo wana JF, mi ni kijana wakiume umri 23 ni mwanafunzi wa chuo hapa dar natafta kazi ya temporary kwa mda wa mwezi 1 kuanzia jumatatu.. Kazi yoyote iliyo ya halali ilimradi nipate pesa kidogo yakujikim kwa mda huu walikizo.
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia please help.

Kijana, hata kama unatafuta kazi ya muda, jaribu kuandika sarufi zilizo sahihi. Tafadhali epuka makosa madogo madogo katika maandishi yako, inaonyesha kwamba uko careless. Kumbuka ujumbe/barua ndio inayokuwakulisha kwa mwajiri.

All the best.
 
mjifunze kufanya volunteering works kama unaona una elimu kazi huna nenda shule ya sekondari ujitolee kuwafundisha watoto ambao hawana waalimu kwenye area of ur specialization wao watakufikiria kukupa chochote cha kujikimu

Yah its a good idea sikuwahi kuifikiria, ila pia kufundisha watu wengi ni profesion kuelewesha watu wengi darasani sio jambo rahisi linahitaji ujuzi.. Lakini nashukuru kwa ushauri wako jambo la kuvolontier ni zuri sio kwenye elimu tu hata kwenye mambo mengine ya kijamii. Hivi hakuna makampuni au taasisi zinazofanya mambo ya volontiering hapa Dar, kama kuna unazo zifahamu naomba nijulishe
asante
 
sawa sawa nimekuelewa kabisa.
Nashkuru
 
mjifunze kufanya volunteering works kama unaona una elimu kazi huna nenda shule ya sekondari ujitolee kuwafundisha watoto ambao hawana waalimu kwenye area of ur specialization wao watakufikiria kukupa chochote cha kujikimu

hapo umenena kaka..tunapaswa kufanya hilo ktk jamii yetu, hasa kwa huyo kijana abt 1 mnth saidia wadogo zako ndg.
 
Yah its a good idea sikuwahi kuifikiria, ila pia kufundisha watu wengi ni profesion kuelewesha watu wengi darasani sio jambo rahisi linahitaji ujuzi.. Lakini nashukuru kwa ushauri wako jambo la kuvolontier ni zuri sio kwenye elimu tu hata kwenye mambo mengine ya kijamii. Hivi hakuna makampuni au taasisi zinazofanya mambo ya volontiering hapa Dar, kama kuna unazo zifahamu naomba nijulishe
asante

Haaa! Na wewe yaani mwezi 1 umeona kipindi kirefu hicho? Hebu kaa nyumbani usaidie wazazi hata kulisha mifugo. Pia kwa ushauri wa jamaa mmoja hapo wa kujitolea ni wazo zuri kama unaona kukaa nyumbani ni taabu!!

Lakini kiingereza chako kinanipa mashaka kama huwezi hata kuandika Volunteering unategemea nini??
 
Ndio nashukuru kwa ushauri, pia ntajitahidi kiingereza changu ndugu..
Asante
 
wewwe khauka wewe, kijana mdogo wa miaka 23, unajidai unatafuta sana kazi,,, mimi nnavojua wakati huu wa sasa vyuo vimefungwa kwa likizo fupi, huna haja ya kutafuta kazi, kaa nyumbani msaidie baba kazi zake, kama hana, saidia hata beki 3 pale hom kupika na kufua au shuguli yeyote pale nyumbani, huwezi kuniconvice kwamba nyumbani kwenu hakuna hata shuguli kidogo ya kinyumbani,,itakua hamuishi maisha ya mtanzania wa kawaida..,kwahiyo mdogo wangu nakushauri fanya kazi za kinyumbani kwa sasa, halafu wakati wa likizo ndefu ya august ile ya mwisho wa mwaka ndo ufanye field au temporary work...usiwe na haraka sana na maisha... Hata sisi tulipita hukohuko
 
Tehe!! teheeee!!
Ya leo kali weka nusu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom