Natabiria CCM maisha yake yapo mwishoni!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi Chama cha Makamba(ccm)sorry chama cha mpinduzi Hakina mda mrefu wakuanguka chali kina kila dalili japo kinadhani kitakuwepo milele!lakini kadri siku zinavyokwenda niwazi maisha yake yapo hatarini na mbaya zaidi wakulima wakija kujua nini wanatakiwa kufanya ccm lazima iwe kama kanu!
 
Mkuu CCM inautaratibu mzuri wa kujisafisha.Usikifananishe na vyama vingine visivyo na utaratibu unaeleweka.
CCM jiwe la mtoni, haliendi na maji!!!
 
Mkuu CCM inautaratibu mzuri wa kujisafisha.Usikifananishe na vyama vingine visivyo na utaratibu unaeleweka.
CCM jiwe la mtoni, haliendi na maji!!!

Yawezekana uyasemayo lakini kumbuka hata ukuta wa birlin ulibomolewa hivyo ujue hata zanzibar walisema hatuwezi kugawana madaraka leo kikowapi??kila siku mbinu zinafichuka!!Mkuu ipo siku utakuja kuona!!nchii ni yawote siyo ya ccm!
 
hawa jamaa wa kijani kiaama chao kimeshafika. wanajua fika kuwa hata hali yao ilikuwa mbaya kwenye uchafuzi wa mwaka huu na ndio maana walitumia kila aina ya mbinu kujihakikishia ushindi kwa kuchakachua. Wanao kiita kuwa CCM ni jiwe la mtoni lisilokwenda na maji wanajidanganya! Tena wanahitaji kupepewa! Wamesha sahau ile kauli iliyotoka kule ROMBO kuwa Mramba ni panga la zamani lisilo isha makali?! Kilitokea nini?!
 
Waliokuwa wakikisaidia wote chari!!sasa hawa vijana watatudanga nya nini??zaidi wataitia hii nchi kwenye mgogoro zaidi wa ivory coast!
 
Back
Top Bottom