Natabiri

Ijuganyondo

Member
Jan 13, 2011
62
1
Kama inavyojulikana mwanamke anapokuwa pregnant kama 7months hivi huwa haweki kabati ndani(v.i.p).sasa mama mmoja alikuwa preg hakuwa amevaa hiyo kitu,mtoto wake mdogo akawa ameona kunako na kukutana na zile pubic hairs akamwambia mama yake;"mama natabiri utazaa mtoto wa kiume"mama yake akashangaa akamuuliza umejuaje??! Mtoto akajibu "nimeona ndevu zimeanza kutokeza" tehee tehee hahaahaaaaaa
 
Form one hujui hata ku link tittle na content?

mshamba kweli wewe sijui umeishia darasa la ngapi? Hujasoma l will marry when i want,man of the people&beautiful ones r not yet born, title&content vimekaaje? Kwenda huko na na Mmekwa yako!
 
mshamba kweli wewe sijui umeishia darasa la ngapi? Hujasoma l will marry when i want,man of the people&beautiful ones r not yet born, title&content vimekaaje? Kwenda huko na na Mmekwa yako!
Mbona una majibu ya ovyo ? nimesoma majibu yako kule Mahusiano pia punguza jazba mgeni.
 
mshamba kweli wewe sijui umeishia darasa la ngapi? Hujasoma l will marry when i want,man of the people&beautiful ones r not yet born, title&content vimekaaje? Kwenda huko na na Mmekwa yako!

If you can't take the heat stay out of the kitchen!!!!Huwezi kumlazimisha mtu kucheka kitu ambacho hakichekeshi!!Get a grip man acha magadhabu!
 
yan katka bongeee la mshamba mjinga wewe ni wamwisho mzaz yan umechemsha ile mbayaaaa duh! Pole we
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom