Natabiri kutokea kwa ajali kubwa ya Treni

hutakiwi kutabiri mabaya...aaah sorry ckuwa nimesoma jina lako b4.. "baba matatizo"
<br />
<br />
Huyu baba matatizo yupo sahihi kabisa.Mimi huwa napanda treni safar zangu zote za TABORA mpaka DAR.Huko njiani bora kusimuliwa kuliko kushuhudia.Hali ni mbaya sana.Kila siku ni matatizo.Mnaweza mkasimama mahali muda mrefu kisha mkaambiwa tatizo kufel kwa mashine iliyo mbele yenu.JEtutafika?
 
Swala hapo siyo kugoma ila waimarishe miundombinu na kununua treni mpya. Hayo mambo yote yapo kwenye mikakati ya serikali ya awamu ya nne. Kinachosubiri ni muda tu.
<br />
<br />
mikakati gani ambayo aitekelezeki jamani,, wasigome alafu wasababishe maafa na serikali ije na utekelezaji, mambo ya kizamani hao: kama wakigoma nami nitawaunga mkono.100%.
 
Acheni kulalamika. Serikali iko mbioni kurekebisha miundo mbinu ya reli, michakato wa kununua treni mpya imeshafikia pazuri, mikakati iko safi. Bajeti kidogo imepungua lakini hata hivyo, jitihada za kuwasiliana na wafadhili zinaendelea vizuri, wakati huo huo mawasiliano kati ya serikali na mwekezaji mpya karibu yanafika mwisho. Bahati mbaya serikali haijajua muda kamili. Tusiwe na hofu ajali haitatokea, na kama itatokea kabla ya utekelezaji wa mpango mkakati na kuua mamia ya watu hiyo ni mapenzi ya Mungu, hata hivyo serikali itatoa ubani kwa wafiwa. Msisikilize malalamiko ya Wapinzani.

Nahisi na WW unafikiri kwa Kutumia Ma...........................o.

Kifombocheza nahisi hukumuelewa Mikael..kwa kipufi Mikael anawakilisha mtu mmoja mwenye zamani na hili tatizo majibu ambayo atayatoa pindi akiambiwa kuhusu hili tatizo la treni.

Point nyingine ya mwisho mikael kasahu ni kuwa baada ya kutoa ubani na kuzika watu waliofariki TUTAUNDA TUME.
 
Back
Top Bottom