Natabiri kuondokewa na mtu mzito sana serikalini ndani ya miezi mitatu ijayo

Tabiri tu mwanakwetu, if at all it's true, that is none of our business, aliyewaumba ndo atakayeamua!!
 
Nathamini sana michango yenu wananchi wenzangu mliochangia habari hii nzito kwa taifa letu. Ndani ya siku 90 (miezi mitatu), jambo hili litatokea, naomba radhi kwa wale niliowaudhi.
Tutumie vizuri mwezi huu mtukufu kuomba mola awalinde na kuwajalia siha njema viongozi wakuu wa serikali yetu. Ramadhan kareem, inshallah.
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa, nk.
PE, asante kwa utabiri huu, kwa vile mtoa roho ni Israel na humpitia kila mtu mara sabaini fii saba kila siku ili kuhakikisha ile saa yake ikitimia, haipiti hata sekunde moja ya ziada.

Sasa kama aliyeandikiwa ndani ya hizi siku tisaini ndiye huyo uliyemuona wewe, na anayeandika ni Mola, na tunafahamu kazi yake haina makosa, sala na dua za nini ili hali tunafahamu na kuelewa fika kuwa kila nafsi lazima itaonja mauti?!.

Kwani hao waliotangulia walikosa nini hata wakatangulia na sisi tuliopo tunastahili nini hadi tuwepo?.

Tumuombe huyo mkuu on the line up asichomeke ili aishi mpaka lini?, au kwa Mungu napo kuna wakuu na watu wa kawaida?.

Kama alikufa Adamu aliyafinyangwa na Mungu mwenyewe, walikufa mitume na manabii itakuwa mmoja wa viongozi wetu?!.

Wewe kama ni mtabiri kweli, tulia tusubirie hizo siku 90 tuone na zikipita bila bila, usije ukaibuka na thread ya kushukuru kwa sala na dua eti zimeepusha msiba kwa taifa!.
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa, nk.
Umemrithi Shehe yahya??
 
Nathamini sana michango yenu wananchi wenzangu mliochangia habari hii nzito kwa taifa letu. Ndani ya siku 90 (miezi mitatu), jambo hili litatokea, naomba radhi kwa wale niliowaudhi.
Tutumie vizuri mwezi huu mtukufu kuomba mola awalinde na kuwajalia siha njema viongozi wakuu wa serikali yetu. Ramadhan kareem, inshallah.
Afya kwa viongozi tu je na walalahoi wengine tufe?? ama hatuna faida??? duhhh
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa, nk.

Mh! mtabiri wa JF kaingia majuzi na utabiri? Haya ngoja tuanze kufunga.
 
itakuwa tarehe ngapi sasa nianze kutuafuta vibarua wa kwenda kumalizia kuandaa shamba langu maana hapo mapumziko si chini ya wiki mwanangu, lazima nipate fursa ya kuandaa kashamba kangu ka mihogo hapa kijito upele
 
Natabiri aliyetoa hii thread ataanza yeye kabla ya kiongozi ili aende akahamasishe mapokez huko pagak
<br />
<br />
Wahaya huwa wana msemo usemao "OLWOSHULA MKASHO LWIJA NANYOKO" maanake ni ukimtabilia/kumuombea mamako wa kambo kifo mtu unajikuta anakufa mama yako mzazi badala ya mama wako wa kambo uliyekuwa na usongo hafe! Matamshi haya siyo mazuri hata kidogo kumbuka Kambarage alipotimiza miaka 75 alisema nini na kulitokea nini, mzee mmoja kwenye TV alisema nini kuhusu chama tawala na kulitokea nini nakumbuka vile vile Fire-Faiza-Foxy-Brown kauli aliotoa kuhusu matamshi ya huyo mzee kwamba hayafahi lakini watu wakambeza. We mtu hata kama umpendi au una uhadui naye wa kiwango cha degree ngapi, kibinadamu huwezi kumuombea kwa Mungu amtoe PUMZI b'damu usiye mtaka!-Ukiona baadhi ya RAIA wanawatakia vifo baadhi ya viongozi ujuwe kwamba kisaikolojia wamekata tamaa, viongozi hawapashwi kulipuuzia hilo otherwise it is gonna cost our Nation an arm and leg. Dalili hizi siyo NZURI hata kidogo..
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa,
Jamani unaacha kutabiri umeme utakuja wa kutosha unatabiri vitu vya mtu kuondoka. Akiondoka si maisha yanaendelea kwa wengine. kwani tatizo nini.
 
Kiongozi mzito kuliko wote serikalini ni nani?!Mizani ianze kutembezwa maofisini ili akijulikana ajiandae!!!
 
Back
Top Bottom