Natabiri kuondokewa na mtu mzito sana serikalini ndani ya miezi mitatu ijayo

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa,
 
afadhali umesema NATABIRI, maana hii ni probability kuliko ungesema NABASHIRI. Kwa habari ya kutabiri ni sawa tu, kwani nikuulize wewe mwenyewe una uhakika wa kuamka kesho?
.
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa, nk.

Mwombe akuchukue ubadili wewe.

hivi baada ya kifo cha shehe magilini wa mwembe chai ni nani sasa anayetoa ulinzi usioonekana kwa yule jamaa anayeanguka hovyo majukwaani?
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa, nk.
<br />
<br />
ndugu una pepo njoo ufanyiwe maombi utapona
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa, nk.
<br />
<br />
Umenikumbusha tamthliya ya second chance.nahisi roho ya shehe yahya imekuvaa.
Kaziii kweli kweli.
 
Natabiri aliyetoa hii thread ataanza yeye kabla ya kiongozi ili aende akahamasishe mapokez huko pagak
 
Mbona kila jambo mnachukulia mzaha jamani! Hivi mnadhani watabiri hawapo jamani msiwe mna roho za kudhihaki.yangu macho ngoja nione huyo kiongozi atakae kufa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom