Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,298
- 33,079
- Thread starter
- #21
@mpayukaji Kwa maana hiyo Ufisadi hautokwisha hapo Tanzania? Nina imani hilo daraja litakuwepo Mwaka 2020 labda baada ya chama kingine kutawala nchini petu siyo chama cha Magamba unasemaje?MziziMkavu huwatakii wadangayika mema. Kwa ufisadi unaoendelea unaamini litajengwa na kuwa worthwhile au tungojee maafa zaidi ya mv Bukoba? Mie kwa taarifa yako nitasahau kila kitu lakini siyo kupanda daraja hilo. Leo hii nawahurumia wanaopanda mikangafu ya Air Tanzania au kula vyakula na madawa yenye nembo ya TBS yaani Tanzania Bureau for Substandard. Tuombe Mungu lisijengwe ili kuepuka maafa ya kutisha. Tanzania uliyoiacha siyo ya sasa. Hukusikia wafanyakazi wa uhamiaji walivyo mabilionea kwa kuruhus unga na wahamiaji haramu kujazana nchini?