Natabiri 2012 ni mwaka wa kuizika rasmi CCM na mwisho wa JK kama mwanasiasa

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Si kwamba nataka kushindana na yule mgonjwa wetu wa Malaria, ila tu natabiri mwaka huu tutashuhudia mazishi rasmi ya CCM pale Dodoma wakati wa Mkutano wao Mkuu wakati wa chaguzi za ndani za chama hicho cha kifisadi.

Na hapo ndiyo itakuwa mwisho wa JK na siasa zake za hovyo.
 
Nakubaliana nawe 100 pasenti kwani viashirio vipo tele, kuzidi kwa hali ngumu ya maisha na kufilisika kwa serikali. Lakini hapo kwenye red kwa nini usitumie neno mbadala -- 'uchwara' kama vile RA aliivyoziita siasa anazosimamia swahiba wake?
 
Si kwamba nataka kushindana na yule mgonjwa wetu wa Malaria, ila tu natabiri mwaka huu tutashuhudia mazishi rasmi ya CCM pale Dodoma wakati wa Mkutano wao Mkuu wakati wa chaguzi za ndani za chama hicho cha kifisadi.

Na hapo ndiyo itakuwa mwisho wa JK na siasa zake za hovyo.

Kumbe wewe ndie ulierithi Mikoba ya Sheikh Yahya!!
 
ccm ilishakufa sasa hivi tuko kwenye mazishi yake tutaanua matanga 2012
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ndg yetu mpendwa (ccm) tayari ni marehemu, Uchaguzi Mkuu wa ndani itakuwa ni kikao cha ndg kuchangia sanda na Jeneza. Safari ya kutoka Dom baada ya Uchaguzi itakuwa ni msafara wa kutoka makaburini. Uchaguzi wa serikali za mitaa itakuwa ni 40 ya marehemu (ccm)
 
  • Thanks
Reactions: Ame
bila umoja maneno haya hayawezi kutimia
chama kishakufa zamani waliopo wanaigiza tu wanajua watanzania hawakipendi
kila aliepo ndani ya magamba ni kwa maslahi yake binafsi sio ya taifa
watapigana kufa na kupona kukitetea kama FF na malaria sugu mwita na wengineo
ukiwachunguza lazima wanafaidika kwa njia fulani
 
Unataka kusema Dr Dr Dr Mwanajeshi aliyekimbia kambi na kuingia siasa, Rais wa NEC, Professor to be, Msema pumba Alhaji Kikwete aliyeteuliwa na NEC kuongoza Serikali legelege na kuhakikisha analiangamiza Taifa la Watanganyika kwa Manufaa ya Mafisadi atakuwa kwishney katika Siasa hovyo za CCM?

Sitaki kusubiri utabiri wako nataka hata leo kama ingiwezekama atoke, amenichosha na meshindwa kuongoza Tanganyika yetu, He is Just a Loser
 
Utasubiri weeeeee! come 2015 tunawapiga bao mbaya kabisa..halafu tunawatupa kwenye "complain corner where you belong"
 
Si kwamba nataka kushindana na yule mgonjwa wetu wa Malaria, ila tu natabiri mwaka huu tutashuhudia mazishi rasmi ya CCM pale Dodoma wakati wa Mkutano wao Mkuu wakati wa chaguzi za ndani za chama hicho cha kifisadi.

Na hapo ndiyo itakuwa mwisho wa JK na siasa zake za hovyo.
Wee endelea tu na ndoto zako za mchana. Kuna siku utaota upo chooni, kumbe vile unanyea kwenye kaptura/skintight mchana kweupeee!
 
Unataka kusema Dr Dr Dr Mwanajeshi aliyekimbia kambi na kuingia siasa, Rais wa NEC, Professor to be, Msema pumba Alhaji Kikwete aliyeteuliwa na NEC kuongoza Serikali legelege na kuhakikisha analiangamiza Taifa la Watanganyika kwa Manufaa ya Mafisadi atakuwa kwishney katika Siasa hovyo za CCM?

Sitaki kusubiri utabiri wako nataka hata leo kama ingiwezekama atoke, amenichosha na meshindwa kuongoza Tanganyika yetu, He is Just a Loser

Not just a loser but a pathetic looser bustard.
 
Si kwamba nataka kushindana na yule mgonjwa wetu wa Malaria, ila tu natabiri mwaka huu tutashuhudia mazishi rasmi ya CCM pale Dodoma wakati wa Mkutano wao Mkuu wakati wa chaguzi za ndani za chama hicho cha kifisadi.

Na hapo ndiyo itakuwa mwisho wa JK na siasa zake za hovyo.

Mbona ingekuwa raha ata kama ingekuwa leo
 
Si kwamba nataka kushindana na yule mgonjwa wetu wa Malaria, ila tu natabiri mwaka huu tutashuhudia mazishi rasmi ya CCM pale Dodoma wakati wa Mkutano wao Mkuu wakati wa chaguzi za ndani za chama hicho cha kifisadi.

Na hapo ndiyo itakuwa mwisho wa JK na siasa zake za hovyo.

Wewe bwana mdogo ukiwa na njaa usishike laptop.

Hizo ni ndoto za ALINACHA, sawa na fisi kukimbiza mkono wa bionadama.
 
Bwana Yesu alipokuja duniani aliikuta dunia ikiwa imejaa mafisadi wengi kama ilivyo leo hapa Bongo. Mwisho akafanya maamuzi magumu ya kujitoa kajivua gamba kwa maslahi ya taifa lake la Israel. Hivyo tunamwomba JK 2012 naye afanye maamuzi magumu, ajivue gamba kwa maslahi ya taifa letu. Kafara pekee itakayoweza kuisafisha madhambi ya mafisadi ni JK pekee kujivua gamba. RIP JK!!!
 
Bwana Yesu alipokuja duniani aliikuta dunia ikiwa imejaa mafisadi wengi kama ilivyo leo hapa Bongo. Mwisho akafanya maamuzi magumu ya kujitoa kujivua gamba kwa maslahi ya taifa lake la Israel. Hivyo tunamwomba JK 2012 naye afanye maamuzi magumu, ajivue gamba kwa maslahi ya taifa letu. Kafara pekee itakayoweza kuisafisha madhambi ya mafisadi ni JK pekee kujivua gamba. RIP JK!!!
 
Back
Top Bottom