nasuuuutwa na roho.....

msikivuTz

Member
Apr 17, 2011
68
407
hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?
 
Imeandikwa, azinie na mwanamke hana akili kabisa, ni maneno ya mungu yanasema hivyo. Nakushauri uoe mkuu ili ushiriki hicho kitendo bila wasiwasi. Kinyume cha hapo unafanya dhambi ndo maana nafsi inakusuta.
 
Acha Uzinzi baba inaonekana kila unapojiisi umetenda dhambi unakuwa ushapata Virus mara kumi hahahaha so kijana tubu dhambi zako mapeeeema!
 
hivi wewe badili tabia,huyo kwenye avatar ni wewe mwenyewe???? :tonguez: ... Shift+R improves the quality of this image. CTRL+F5 reloads the whole page.
 
Zinaa haikutaki masikini sasa waifanyianini jamani mpaka unamchukia mdada ulozini nae...mpaka unaoa utakuwa na maadui wangapi weye acha mara moja!
 
hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?
Utakuwa sio mzoefu mkuu hata sisi tulihisi hivyo lakini ukiongeza mechi hiyo hisia itapotea.
 
Si unaiba! Halaf mbaya zaidi kitu chenyewe unachokiiba umeiga tu wala huna uhakika nacho kama yaliyomo yamo? Halalisha mzee na warranty utapewa uwe na amani kabisa!
 
hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?

Nenda facebook kwa wenzio....
 
OA if ur ready ukilazimisha kuoa pia inaweza kula kwako.
Acha kufanya ngono,fanya mazoezi,kula vizuri keep urself busy,chat n go out with pipo.
Ukishindwa kabisa kati yahao wengi chagua au tafuta mmoja ujifunze kumpenda kwa dhati maana wewe tatizo lako unalala nao bila kupenda,yani when u feel sex u jst pik one from the list.Learn how to love
 
yeah, msikivu fanyia kazi hili ndugu
 
Dhambi ni mbaya sana, inatesa, inakosesha amani kabisa na inaua. Tena mshukuru Mungu kwamba unajisikia kukosa amani, hii ni dalili tosha kwamba una hofu ya Mungu ndani yako. Nakushauri acha kabisa dhambi hiyo ya uzinzi, na utubu kwa Mungu kwa kosa hilo kisha chagua kuoa kihalali ili uwe huru na mkeo na hutaiona tena hiyo hali unayojisikia kwani huyo atakuwa mkeo halali
 
hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?

NAOMBA NI EDIT POST YAKO KAMA IFUATAVYO

hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha ZINI na binti huwa nakoswa raha kwa dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?

Sidhani kama kuna nini inaruhusu uzinzi so acha uzinzi
 
wewe dogo weweeee... huo ni uchovu ebo?
ucfanye gem yle hujala, thawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom