nasumbuliwa na koo

maranatha

Member
Feb 14, 2012
58
11
nina tatizo la koo kwa miaka miwili sasa nimeenda hospitali na kufanyiwa vipimo nimeambiwa nina cricopharyingits nimetumia dawa intulia kwa muda kisha hali inarudi tena nimeenda kwa tiba mbadala napo bado.naomba msaada wenu je huu ni ugonjwa sugu au sijapata tiba sahihi?
 
Back
Top Bottom