Nasubiri kwa hamu sana filamu hii

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Watanzania ni wazuri sana wa kuangalia filamu hasa zile za kigeni na hata pale ambapo lugha inakuwa haipandi tumekuwa tukitumbukiza maneno yetu wenyewe na kufanana kabisa kile kilichomo katika lugha ya kigeni kama ambavyo hivi sasa imezoeleka katika vibanda vya makuti na hasa katika jiji la Dar es Salaam.
Na sasa kuna filamu inatengenezwa inayoonesha nchi ikiongozwa na Watu maarufu walioasi kutumikia Kanisa na kuchukua wake za watu, wahusika wengine wa filamu hiyo wanamiliki makasino, wengine ni wanamuziki na wengine Walikuwa wezi wa Maghari. Wapo pia wabuiya unga na wengine inasemekana ni kabla hawajawa Waheshimiwa walikuwa wahudumu wazuri nyakati za usiku. Tusubiri tuone filamu hiyo na jinsi ambavyo nchi hiyo inavyotawalika.

Unaweza kutoa maoni yako jinsi unavyofikiria nchi hiyo ilivyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom