Nasubiri hotuba ya kikwete

kilolambwani

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
395
75
Bado sijakata tamaa, nasubiri hotuba ya rais wangu dr. dr. dr. Kikwete kutuhutubia kwa kumaliza mwezi januari. Nasubiri nimsikie kuhusu dowans, mgao wa umeme, maandamano ya wanavyuo, kuwapa pole ndugu wa waliofiwa na ndugu zao kule Arusha, wananchi kudai haki zao walizonyang'anywa kule Mbarali na Babati. Nasubiri kwa hamu.
 
Weeeeeeeeeeeeeeeeee thubutu yake????ivi unafkiri ye **** kiivo?january ipi hiyo wakati ashaipotezea hiyo.
 
Ndugu yangu unasahau alishatoa hotuba kule Mingoyo wakati akikabidhiwa shule ya msingi iliyojengwa kwa msaada wa Wajapani mwishoni mwa januari???? Au labda aongee na UVCCM kwa niaba ya Watz kama alivyoongea na wazee wa Dar siku zilee!
 
Mkwere hatii neno, hela ya dowans wameshagawana tayari kilichobaki ni kiini macho lakini kila mtu keshavuta stahili yake, iliyobaki labda tulianzishe tu kiasi nchi isitawalike na kuwang'oa washenzi hawa, lakini kusema kuzuia wasilipwe ni too late wameshachukuwa.Natamani sana nimuue Rostam kwa mikono yangu bila kutumia hata kiwembe.
 
Hivi bado hujashuhudia mwezi unavyotokomea? mi nadhani tuanze kuuliza kwa nini hajahutubia? Au ni kwa vile watu washaamuka wote?
 
Hivi bado hujashuhudia mwezi unavyotokomea? mi nadhani tuanze kuuliza kwa nini hajahutubia? Au ni kwa vile watu washaamuka wote?
mnataka aongee nini kama hamjui au mnataka aongee halafu mtoe coments gani!?? acheni apumzike jamani!
 
Back
Top Bottom