Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

We endelea kupiga porojo. watanzania kwa dhamira njema kabisa wameamua kuutafuta ukombozi wa fikra kupitia CDM.
Ewe Mwenyenzi Mungu mfumbue binadamu huyu badala ya kuwa na Mdomo Mkubwa na masikio mapana awe na Akili pana zaidi ya kumsaidia kutambua haki zake zinapatikana wapi! Aamen!

Watanzania unao wasemea ww ni wangapi ? sema ww na familia yako tutakuelewa
 
Wakati mwingine ni vyema kauli za kisiasa zikatazamwa kwa makini. Those without clear intention, which are common in Tanzania, should be disregarded! Tutapeleka wangapi polisi?
 
Kwani zaidi ya kusema kwamba Kaskazini itajimega alisema nini kingine hadi atafutwe na polisi?
 
Mbunge wa Arumeru Mashariki mh Joshua Nassari anatafutwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya rahisi JK. Ametakiwa ajisalimishe mwenyewe baada ya kutokupatikana kwenye simu yake ya mkononi. Source radio ujerumani idhaa ya kiswahili.

Hii habari ya uwongo taslimu. Hakuna ukweli wowote!
 
Mbunge wa Arumeru Mashariki mh Joshua Nassari anatafutwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya rahisi JK. Ametakiwa ajisalimishe mwenyewe baada ya kutokupatikana kwenye simu yake ya mkononi. Source radio ujerumani idhaa ya kiswahili.

Kama sio jana ni juzi tu tumesikia aliitwa police na kuhojiwa,hii ya Leo ni wanataka sifa au?Makamanda(wanaharakati)wengi hukutwa na matatizo kibao hiyo ni kawaida sababu wapo ambao pia wanapoteza uhai wao.
 
Mashetani wakubwa hawa tumeshawachoka, wanashindwa kutafuta majambazi wanakamata viongozi wetu, ngoja siku chama chao kikianguka, watakiona cha moto.
 
kama kuna mbunge yoyote wa chadema ambae hajafunguliwa kesi naomba kujuzwa...
 
naona wazee wa vibahasha kazini.eti kuna radio moja huku arusha imesema wamempigia na kumtumia sms hakurespond basi mijamaa ika-conclude amejificha.shame!!
 
Labda walishinikizwa na Rizi1 wakaamua kudanganya kuwa hapatikani. Unajua hawa polisisiemu nao wanapenda M4C lakini wanalinda vibarua vyao visiote nyasi.

Mkuu nimeipenda hii,hiyo ndio fact,polisi wengi wanalinda vibarua vyao tu,ila wengi wao wanaipenda M4C
 
naona wazee wa vibahasha kazini.eti kuna radio moja huku arusha imesema wamempigia na kumtumia sms hakurespond basi mijamaa ika-conclude amejificha.shame!!

HII RADIO sawa tu na hawa policcm hivi mbunge wa watu kama nassari ni kibaka ajifiche.......... kweli watawala watakuwa wamechoka kama wanathubutu kusema wanamtafuta mh. nasari kama mwanza walivyosema wanamtafuta dr. Slaa mpka leo hawajasema kama wamempata au bado wanamtafuta tu
 
Back
Top Bottom