Nassari; ndoto zako za kumuoa MDEE hazibadilishi yeye kuwa Mbunge wa Kawe

Iwapendeze wakuu;

Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa Mbunge basi atamuoa Mhe. Halima Mdee ili Jimbo lake la Arumeru Mashariki linufaike mara dufu kwa kuwa na Wabunge wawili.

Nimeshindwa kujua kama ni akili zake ama ni za jirani manake nimejiuliza; Je ni kweli kwamba hajui ama hafahamu kuwa hata akijaliwa hilo ambalo yeye amesema anamw

Mmh! una akili za kitoto!
 
iwapendeze wakuu;

akiwa katika harakati za kumjibu wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (joshua nassari) mbele ya kiongozi wake wa kitaifa alitamka kuwa akiwa mbunge basi atamuoa mhe. Halima mdee ili jimbo lake la arumeru mashariki linufaike mara dufu kwa kuwa na wabunge wawili.

Nimeshindwa kujua kama ni akili zake ama ni za jirani manake nimejiuliza; je ni kweli kwamba hajui ama hafahamu kuwa hata akijaliwa hilo ambalo yeye amesema anamwomba mungu ili litimie haliwezi kamwe kubadilisha nafasi aliyo nayo halima katika kutekeleza wajibu wake kwa watu wa kawe na vitongoji vyake?? Lakini hata kama ni ndoto hivi kumbe anachotaka yeye si tu kumuoa halima kama mke bali anataka kufaidi ama kupata faida kutoka kwa halima kwa kupitia nafasi aliyo nayo kama mbunge!

Vijana kwa kweli kazi tunayo ugonjwa ni ule ule wa kujibizana na kukosa kipi cha kuzungumza kwa wakati gani???

bila shaka ulitumia masaburi kijana mwenzangu tena mdogo wangu. Kwanza kitabia hawaendani, halafu hajaeleza wameanza uhusiano lini mpaka atangaze kumuoa mdee, na mdee haijulikani kama yuko tayari kuolewa na kijana kama nasari.

Ameteleza, akiendelea na ujinga wake ataanguka
 
bila shaka ulitumia masaburi kijana mwenzangu tena mdogo wangu. Kwanza kitabia hawaendani, halafu hajaeleza wameanza uhusiano lini mpaka atangaze kumuoa mdee, na mdee haijulikani kama yuko tayari kuolewa na kijana kama nasari.

Ameteleza, akiendelea na ujinga wake ataanguka

ukishafaham itakusaidia nini?,ama unataka na wewe pia utongozwe na nasari utangazie dunia nzma,acha tabia za kishoga,na alokwambia tabia zao haziendani ni nani?mbna kama unajipgia debe?basi atakuoa ww tabia zenu zinaendana.
 
Mleta hoja hapo hata kale ka Literature tu ka enzi zile za vitabu vya akina Chinua Achebe hukuzisoma?au wewe ni wa enzi za voda fasta?kumbuka white color job kwenye kitabu cha Chunua achebe,kumbuka pia sentensi ya kitabu cha Ngugi wa thiongo inasema The river between,na vingine vingi,je akisema atamuoa Halima Mdee inakuudhni nini?au wewe ndo ulikuwa unampigia mahesabu?yeye alikuwa anamjibu Tyson(wassira aka mzee wa usingizi mjengoni)ulitaka aseme haoi?kajibu basi kama issue ni kuoa basi yeye atamuoa Mdee,na hata kama ni mawazo yake wewe yanakuudhi nini?kikubwa jifunze kutafakari watu wanaposema jambo,hapo maana ya msemo wake ni open and clear,kwamba mbona Mdee hajaolewa na ni mbunge,na siku zaa mwanzo alisema mbona Zitto na Mnyika hawajaoa na hamkukurupuka kuandika chochote leo aseme atamuoa Mdeemapovu yamewatoka,nimejifunza kitu mleta uzi huu anawivu mbaya tena huenda kwa mtu ambaye hata hawajuani kabisa.
 
Hivi January Makamba ana mke, Zitto kambwe je? sasa kwa nini iwe Nassari tu! Mke wa nini kwani bungeni wanaenda kulea watoto?

Umenikumbusha kwenye kampeni za ubunge Mrema alizushiwa kuwa ni mzee na eti afya yake si nzuri .. yeye aliwaambia wabaya wake kuwa "kwani Bungeni wanaenda kubeba zege?"



 
Nassari kumuoa nani au atamuoa nani iko siyo kigezo cha kuchaguliwa au kutochaguliwa ..the issue ni sera..kuona au kutooa hiyo ni private lyf ya mtu and we as the public linapokuja swala la kuchagua kiongoz jambo tunalopaswa kufuatilia ni sera tu zamgombea...mfano lazima atueleze kwamba yeye mgombea na chama chake wanaamin tunapaswa kufanya nini na nini sisi kama jumuhiya ili kutatua shida zinazo tukabil coz mtu hagombei ili tujadili maisha yake bali maisha yetu so mdau mwenzetu KUKUTIA OLE!kwa mtazamo wangu naona umekosea na nakushauli fanya jitiada za kujifunza zaidi nini mahana ya serikali,siasa,na demokrasia ya vyama vingi.kwa kuanzia kasome kitabu cha mwalimu kinaitwa TANU NA RAIA.sorry kama ntakuwa nimekukwaza bt nikatika tu alakati za kuelimishana.its me mzalendo na msaka ukweli nelson wa mlokozi.
 
Aliongea kisiasa tu...

Swali la kuoa ukijibu moja kwa moja utakuwa kama Mkapa... Kumake headlines kwenye vyombo vya habari...

"Nassari asema hana mpango wa kuoa..!", au "..adai ana mchumba..." vichwa vya habari vya kuzua maswali vingekuwa vingi!
 
WAKUU WENYEWE MNAKUMBUKA KWAMBA MH. NASARI ALIWAAMBIA WAPIGA KURA WAKE KWAMBA ATAHAKIKISHA ANAMUOA HALIMA MDEE PINDI AKICHAGULIWA KUWA MBUNGE.

HAYA YAMETIMIA, TUNASUBIRI KWA HAMU HARUSI YA MAKAMANDA!!!



Tehe teheeeeeeeeeeeeee
_________________________________________________________________________

Edward Lowasa: Hapo Vipi... Hapo Sawa!!

Livingstone Lusinde: Tuwarambe tusiwarambeeeeeee!!!
Migomba yote ina rangi ganiiiii...........


:msela::peace::peace::peace::msela:
 
Haikuwa ahadi yake ya ushindi hiyo, bali alikuwa anapuuza hoja nyepesi ya ccm kuwa kwa kuwa hajaoa basi hasichaguliwe. Naye ndiyo akawaambia kuwa anaweza kuoa halima mdee ili arumeru iwe na wabunge wawili.

Issue za maisha ya watu binafsi ni siasa nyepesi za ccm.
 
Hahahaahaaaa!

Dogo aliona kama kuoa ni sharti mbona wapo wasioolewa bungeni??
Nipeni ubunge nikaoe huko.......
 
Back
Top Bottom