Nassari; ndoto zako za kumuoa MDEE hazibadilishi yeye kuwa Mbunge wa Kawe

mm MDEE kiumri ni mkubwa kuliko Nasari na kwa mujibu wa mila za kimeru mme lazima awe na umri mkubwa kuliko mmke

Mdee miaka 34 au 35
Nassari miaka 27
huyu mleta mada na yeye kichwa nazi tu..
 
Wana Arumeru watafaidika na mawazo ya pande zote iwapo wataoana. Haimaanishi na yeye atakua mbunge wa Arumeru! Tatizo mnasikiliza watangazaji mazuzu. Hilo ni suala kuongelea kwenye kipindi kweli?
 
Iwapendeze wakuu;

Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa Mbunge basi atamuoa Mhe. Halima Mdee ili Jimbo lake la Arumeru Mashariki linufaike mara dufu kwa kuwa na Wabunge wawili.

Nimeshindwa kujua kama ni akili zake ama ni za jirani manake nimejiuliza; Je ni kweli kwamba hajui ama hafahamu kuwa hata akijaliwa hilo ambalo yeye amesema anamwomba Mungu ili litimie haliwezi kamwe kubadilisha nafasi aliyo nayo Halima katika kutekeleza wajibu wake kwa watu wa Kawe na vitongoji vyake?? Lakini hata kama ni ndoto hivi kumbe anachotaka yeye si tu kumuoa Halima kama mke bali anataka kufaidi ama kupata faida kutoka kwa Halima kwa kupitia nafasi aliyo nayo kama Mbunge!

Vijana kwa kweli kazi tunayo ugonjwa ni ule ule wa kujibizana na kukosa kipi cha kuzungumza kwa wakati gani???

Vipi mtafute aliumuombe abadilishe uamzi labda anaweza kukuoa.....
 
Iwapendeze wakuu;

Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa Mbunge basi atamuoa Mhe. Halima Mdee ili Jimbo lake la Arumeru Mashariki linufaike mara dufu kwa kuwa na Wabunge wawili.

Nimeshindwa kujua kama ni akili zake ama ni za jirani manake nimejiuliza; Je ni kweli kwamba hajui ama hafahamu kuwa hata akijaliwa hilo ambalo yeye amesema anamwomba Mungu ili litimie haliwezi kamwe kubadilisha nafasi aliyo nayo Halima katika kutekeleza wajibu wake kwa watu wa Kawe na vitongoji vyake?? Lakini hata kama ni ndoto hivi kumbe anachotaka yeye si tu kumuoa Halima kama mke bali anataka kufaidi ama kupata faida kutoka kwa Halima kwa kupitia nafasi aliyo nayo kama Mbunge!

Vijana kwa kweli kazi tunayo ugonjwa ni ule ule wa kujibizana na kukosa kipi cha kuzungumza kwa wakati gani???

My friend, jibu lile liliendana kabisa na hoja la kijinga la Steven wasirra, ndio wasirra; ambaye hata yeye hana mke!!!

unajua unaweza kuniuliza swali kama vile "mkuu nakuona hapo" - jibu langu linaweza kuwa "hapana hunioni aisee, au mbona sikuoni?? au hata wewe una macho" halafu ikaonekana ni offense kumbe sio hivyo

Hivi kuwa effective bungeni ni lazima uoe?? akimaliza si atasema hana watoto??? ni hoja za kipumbavu sana kutoka kwa mtu mwenye umri mkubwa sana, umbo kubwa na la kutisha na dhamana aliyopewa kama wasirra.....
 
Inaelekea mleta mada alikuwa na mpango wa kupeleka posa kwa familia ya Mdee
 
Mke bora mtu anapewa na Mungu na sio utashi wake au hamu yake! Kwani mke sio Kitunguu kama unavyonununua Sokoni!
 
Comrade umeshindwa kuitambua falsafa ya matamshi ya bwana Nassary iko hivi kama kuoa ni hoja mbona Halima mdee ni mbunge na hajaolewa? kama ivo basi atamuoa halima ambaye ni mbunge na hajaolewa,muwe makini mnapo sikiliza hoja za watu sio kukurupuka na kuzipatia majibu,

Wewe ni mpambanuaji mambo,watu wameshindwa kutambua kua NASSARI alikua anamjibu jinga WASIRA kiakili kama yeye alivyoropoka kijinga
 
Hii story kama ya kuungaunga vile! Shida iko wapi kama wataoana? Mzee Malecela na Anna Makinda walikuwa wote mjengoni halikuharibika neno! Vivyo hivyo Mzee Msekwa (akiwa Speaker) na Anna Abdalla, baadae Speaker Sitta na Magreth Sitta. Leo hii kwa nini iwe nongwa?

Malechela na Makinda wana mahusiano? Au umechanganya madesa badala ya kumwandika Kilango ukamwandika Makinda.
 
Nimefurahi sana kupata taarifa kutoka kwenye gazeti la Majira la leo (Machi 19,2012) kwamba Joshua Nassari anataka kumuoa Halima Mdee, Mbunge wa Kawe. Kama ilivyo ada tumekuwa tukiona wapendanao wakisaidiana kupiga kampeni ili kuhakikisha ushindi unapatikana. Ninamshauri Mdee akimsaidie mchumba wake.

Wewe umesema!!!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hivi January Makamba ana mke, Zitto kambwe je? sasa kwa nini iwe Nassari tu! Mke wa nini kwani bungeni wanaenda kulea watoto?
 
Arumeru hatuna shida kupiga double blessing, tukipata jimbo la Arumeru na tukampata na Mdee, jembe lingine kwetu sisi ni faida, maana tutakuwa tunaongoza majimbo mawili kwa pamoja! Ha ha ha haaaaa! kweli watu huwa wanakosa hoja za kujadili! That was simply a metaphor/figure of speech kweli hilo swala la kujadiliwa, kweli CCM mmefilisika sera kwa kiwango cha juu! it is alarming!
 
Acha nipite tu siasa za maji taka wanazianzisha hawa hawa magamba kwani akimuoa tatizo liko wapi huko ni kuishiwa kajipange upya na mada nyingine.
 
Nani kasema Halima ana haja ya kuolewa?

....................KATIKA kile kinachoonekana kuwa baadhi ya wanawake wamedhamiria kumaliza hisia zao za kimapenzi wao kwa wao, biashara ya uuzwaji viungo bandia vya siri vya kiume, imeshamiri jijini Dar es Salaam.
Mwananchi Jumapili lilifika hadi katika duka maarufu la vipodozi wilayani Kinondoni na kubahatika kuzungumza na muuzaji aliyejitambulisha kwa jina moja la Kelvin ambaye alisema, viungo hivyo bandia vimekuwa vikigombewa kwa kasi pindi vinafikishwa dukani hapo.

Kelvin alisema, inamuwia vigumu mmiliki wa duka hilo kuwatosheleza wateja wake wengi, wanaoweka oda ya bidhaa hiyo, kutokana na idadi yao kuongezeka.

"Akileta viungo 50, havikai kwa zaidi ya siku tatu, akileta 70 au 90, havimalizi wiki," alisema Kelvin.
Hata hivyo, muuzaji huyo alidai kuwa, kwa sasa hakuna viungo hivyo kwa sababu mzigo bado haujaingia jambo ambalo limesababisha wateja wengi kuulizia kila siku.

"Kama jana amekuja msanii maarufu wa kike wa nyimbo za taaribu, alikuwa anahitaji viungo,
na mbunge mmoja wa kike naye aliviulizia majuzi, lakini ndo hivyo mzigo bado haujaingia,"
 
Nimefurahi kusikia kwamba Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA) ni mchumba Mgombe Ubunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, kama ilivyo ada ya wapendanao, nina mshauri Mdee akamsaidie Laazizi wake Nassari kupiga kampeni.
 
Jana nilikuwa ktk mkutano ambao Nassari alitoa kauli hiyo....nilijua kabisa watu wavivu kufikiri wataitumia kwa malengo ya upotoshaji.
Kwa kweli Nassari alizungumza masuala mengi ya msingi kama vile kusudio lake la kupeleka hoja binafsi bungeni ili wana Arumeru warejeshewe mashamba yao...Pia Dokta Slaa alizungumzia umuhimu wa wananchi kufuatilia pesa zilizotengwa na serikali kwa wakazi wa Arumeru ambayo ni TSh 70000 kwa kila mkazi inayolenga kugharimia miradi mbalimbali ,ushiriki wa wananchi ktk kuamua miradi ya kutekelezwa kulingana na vipaumbele ,na umuhimu wa kufuatilia miradi hiyo kuona kama inalingana na thamani ya pesa.
Mbunge Peter Msigwa alieleza kuwa tofauti na kampeni za CCM wanaogawa pesa kwa wananchi ,CHADEMA wanaomba pesa za kampeni kutoka kwa wananchi.
Hayo yote wenzetu hawakuyaona kama ni habari kwao ,badala yake wakachagua kushikia bango ''Nassari ataka kumuoa Mdee''.
Lakini hatimaye ukweli utashinda.
 
Back
Top Bottom