Nassari amefunikwa kwa damu ya yesu-ccm hila zenu zimeshindwa

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Jinsi Dogo janja anavyowapelekesha magamba wamefikia hatua ya kupanga mikakati michafu dhidi ya Nassari lakini kwakuwa amefunikwa na damu ya yesu hila na mipango yote mibaya inagonga mwamba!
Mytake:Jamani CCM shindaneni kwa sera na mkizidiwa uungwana ni kukubali na wala siyo kupanga mikakati ya kumdhuru Nassari.
 
dah hatariiiii

huyu jamaa mamvi ni danger. angalia jinsi mwa kyeba alivyofanywa

Hivi anafanya hajawa rais, je akiwa mkuu wa nchi.

Si itakuwa Iraq?
 
Wamekwisha kushindwa kwa JINA LA YESU. sisi hatuwalaani lakini Mungu anaona atawajudge.
NASARI, CDM SONGA MBELE MUNGU YUPO UPANDE WETU, nasi TUKO NYUMA YETU
 
Jinsi Dogo janja anavyowapelekesha magamba wamefikia hatua ya kupanga mikakati michafu dhidi ya Nassari lakini kwakuwa amefunikwa na damu ya yesu hila na mipango yote mibaya inagonga mwamba!
Mytake:Jamani CCM shindaneni kwa sera na mkizidiwa uungwana ni kukubali na wala siyo kupanga mikakati ya kumdhuru Nassari.

majungu haya, si useme mipango hiyo michafu....
 
Acheni kuleta udini wenu hapa, kwani chama gani ni cha shetani. Kila mamlaka imetoka kwa Mungu, mi sipendi cdm mnavyopenda kulitumia sn jina la Mungu.
 
Kati ya kosa ambalo CCM wanalifanya ni kuamini kuwa bado wanakubalika.
Watu wakionyesha resistance yeyote ili kutuma message kwamba hawawataki.
wao wanaona ni wapinzani wetu hao,
watu wakiwaambia ukweli kuwa chama kinakufa wao wanaamini ni wapinzani wetu hao, ni chadema hao!
wakipigwa mawe na wananchi waliochoka na utawala mbovu, utasikia lusinde anasema ni vijana wa CHADEMA hao, wakizomewa, utasikia wametumwa na CHADEMA hao!!! you guys need to know that, watu wamekichoka chama chenu..
watu wanataka mageuzi..WENGINE HAWANA VYAMA ILA WAKITUMA MESSAGE ZAO KWENU KWA NAMNA MBALIMBALI HAMTAKI KUSIKIA NA KUELEWA KUWA MMECHOKWA!!!!!!
 
Back
Top Bottom