Nassari afunika nyumbani kwa sioi sumari 15/6/2012

Katika Hali isiyokuwa ya kawaida, siku ya Jana mbunge aw arumeru mashariki Mhe. Nassari dogo janja, aliendesha harambee kwa ajili ya ku drill maji, kujenga vyoo na bweni kwenye shule ya mazoezi ya elimu Maalum Patandi iliyoko maeneo ya tengeru kwenye kata ya akheri.

Hii ndio kata anayotokea mbunge aliyetangulia na aliyekuwa mgombea Ubunge wa CCM sioi sumari.

Marehemu sumari aliahidi kuchimba maji kwa miaka na hakuwahi kutekeleza. Leo dogo janja katekeleza akishirikiana na wananchi (participatory development) . Heko kwako dogo janja, kutekeleza ahadi Mpaka nyumbani kwa mpinzani wako.

Baada ya uchaguzi kumalizika aliyeshinda ni mbunge wa wote ukijumuisha na wale aliokuwa anagombewa nao. Acheni kuchocheza mafarakano katika jamii; alikotoka SIOI ni sehemu ya Arumeru ambayo Mbunge wao ni Nasari
 
Umesema vema mkuu lakini mbona Kikwete alizuia mikutano isifanyike Arusha kisa Lema ambae anatoka chadema ameshinda...je hakujua kuwa kikwete ni raisi wa tanzania na siyo wa msonge.....
 
Tuna subiri kigomba iwe Dubai ya Tanzania na barabara za angani hapo Dar................

Jiulize kwa nini wizara ya magufuli imepewa fungu kubwa kwenye bajeti hii? TAFAKARI kwa makini. Tumuunge mkono JK wandugu ni kwa faida yetu sote.
 
Hoja iliyoko ni Nasari ametekeleza ahadi alizo toa wakati wa kampeni sasa bado Kikwete na ahadi zake 69 ambazo mpaka sasa hakuna ishara yoyote ya kutekeleza...

Muwe na subira vijana, hamuoni barabara za lami zinaota kama uyoga kila kukicha?

Nassary hakushinda arumeru kwa sababu watu wanamkubali au kkikubali chama chake, isipokuwa wananchi walikiadhibu ccm kwa kukosa majibu yenye kuwaridhisha wananchi. Mtu kama mkapa(rais mstaafu) kuwaambia wananchi atamshauri JK kushughulikia matatizo ya ardhi hata mtoto mdogo asingemkubalia kwa kuwa alikuwa na uwezo wakati akiwa madarakani!!, pia CCM waliingizwa kichwa kichwa na katika sera za kushambuliiana wakaacha desturi yao ya kuuza sera za maendeleo.
 
Barabara zipi ambazo zimeanza kujengwa na Kikwete mfano, hivi baada ya miaka 50 bado unatutaka tuwe na subira....!?
 
Kafunika nini? Watu wanaitaji kuona yale yote aliyosema kwenye ahadi zake yanatimizwa kama kushusha bei ya sukari, na kujenga barabara.

Mbona Mwenyekiti wenu zile ahadi alizotoa toka 2005 mpka leo hazijatekelezwa?Wivu wa kike huko.Dogo janja chapa mzigo
 
Umesema vema mkuu lakini mbona Kikwete alizuia mikutano isifanyike Arusha kisa Lema ambae anatoka chadema ameshinda...je hakujua kuwa kikwete ni raisi wa tanzania na siyo wa msonge.....

Ndugu yangu Crashwise sina uhakika kama kuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mh. Kikwete alizuia mikutano isifanyike Arusha.

Nachofahamu mimi ni kuwa kwenye biashara kuna kitu kinaitwa "Lobbying"; hao waliopata hizo fursa badala ya AICC au Ngurdoto kwa mfano ni kwa kuwa wamefanya "marketing campaigning/lobbying" vizuri kuliko hawa wa Arusha.

Nadhani utakuwa umenielewa kwa maana wewe ni Mtanzania unafahamu mambo ili yanyooke nini kinatakiwwa
 
Ndugu yangu Crashwise sina uhakika kama kuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mh. Kikwete alizuia mikutano isifanyike Arusha. Nachofahamu mimi ni kuwa kwenye biashara kuna kitu kinaitwa "Lobbying"; hao waliopata hizo fursa badala ya AICC au Ngurdoto kwa mfano ni kwa kuwa wamefanya "marketing campaigning/lobbying" vizuri kuliko hawa wa Arusha. Nadhani utakuwa umenielewa kwa maana wewe ni Mtanzania unafahamu mambo ili yanyooke nini kinatakiwwa

Kama ilikupita hotuba ya Kikwete kwa kukumbusha tu huyu mtu ni ni mtu wa visasi huja wahi kuona....soma hiki kipande cha hotuba yake
'Ndugu Wananchi;
Napenda kutumia nafasi hii kutoa pongezi na shukrani nyingi kwa ndugu zetu wa Arusha kwa kuwapokea vizuri na kuwakarimu vyema wageni wetu hao. Nawaomba waendelee na moyo huo mpaka watakapoondoka wote. Naomba kuwepo kwa mkutano huu kuwakumbushe umuhimu wa mji wenu kuwa tulivu.

Miaka miwili iliyopita isingekuwa rahisi kwa watu au shirika kubwa la kimataifa kama Benki hii kuamua kufanya mkutano wake Arusha. Isitoshe hata sisi wenyewe tusingeshawishika kuomba au kukubali maombi ya namna hiyo. Lakini sasa imewezekana. Naomba kila mmoja wetu aweke azimio moyoni mwake la kuhakikisha kuwa hali ile haijirudii tena. Nyota ya
Geneva ya Afrika lazima iendelee kuangaza. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.'
 
Kafunika nini? Watu wanaitaji kuona yale yote aliyosema kwenye ahadi zake yanatimizwa kama kushusha bei ya sukari, na kujenga barabara.

Bei ya sukari kishusha si kama unavyopandisha bendera alfajiri na kisha kuishusha jion mkuu sugua akili wewe bado kazi ni kubwa mwanaume ameanza kutimiza miongoni mwa aliyo yaahd, suala la bei ya sukari bado lipo kwa serikali ya magamba aisiyopenda kufuata ushauri wa wapinzan matokeo yake nchi bado hali tete so jiongeze mkuu
 
Kama alivyo shindwa kikwete kushusha bei ya kiberiti kutoka 25 wakati anachukua nchi na sasa ni 100...
 
Kama ilikupita hotuba ya Kikwete kwa kukumbusha tu huyu mtu ni ni mtu wa visasi huja wahi kuona....soma hiki kipande cha hotuba yake
'Ndugu Wananchi;
Napenda kutumia nafasi hii kutoa pongezi na shukrani nyingi kwa ndugu zetu wa Arusha kwa kuwapokea vizuri na kuwakarimu vyema wageni wetu hao. Nawaomba waendelee na moyo huo mpaka watakapoondoka wote. Naomba kuwepo kwa mkutano huu kuwakumbushe umuhimu wa mji wenu kuwa tulivu.

Miaka miwili iliyopita isingekuwa rahisi kwa watu au shirika kubwa la kimataifa kama Benki hii kuamua kufanya mkutano wake Arusha. Isitoshe hata sisi wenyewe tusingeshawishika kuomba au kukubali maombi ya namna hiyo. Lakini sasa imewezekana. Naomba kila mmoja wetu aweke azimio moyoni mwake la kuhakikisha kuwa hali ile haijirudii tena. Nyota ya
Geneva ya Afrika lazima iendelee kuangaza. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.'

Nakuhakikishia labda azuie uchaguzi usifanyike manake ukifanyika ccm hawatapata kura huku na wakija kwenye kampeni tutawaadhibu mafsadi wakubwa hawa.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom