Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

Nipo hapa Kaizer, nihakikishie tu kuwa hunitafuti kwaajili ya kuniburuza na gari lol.

mimi tena? Ntake radhi, mi nakutafutia mema ya nchi

unajua nini...mwanamke ni wa kumuwazia mema na kumtakia mema hata kama kakuudhi....hayo ya adhabu anayajua Mwenyezi Mungu peke yake...sisi haturuhusiwi kuhukumu

come this way
 
Pia una maana kwamba adhabu za usinzi ni kifo au sielewi kitu?

Babu DC!!

yan knachoboa hapo tc the way nasra anavojtamba kwa uzinif wake n kumkashif mwenzie kiac hko n kama yeye aliona adhab ya kumpa mwenzie ni kumkashf everywea ndivo jamaa alivoona adhab ya kuua inafaa
 
mimi tena? Ntake radhi, mi nakutafutia mema ya nchi

unajua nini...mwanamke ni wa kumuwazia mema na kumtakia mema hata kama kakuudhi....hayo ya adhabu anayajua Mwenyezi Mungu peke yake...sisi haturuhusiwi kuhukumu

come this way
Hahaha! Wacha nikuje kupata mema ya nchi...

Am on my way!
 
Wote wana makosa hapo.
Bora umekuwa mkweli NN, manake hapa naona watu wameanza kumshambulia Nasra kwa matusi alotoa kwa mumewe na wamesahau kama chanzo cha yote ni fumanizi la mumewe!...


hivi huyo mume angekuwa katulia na mke wake hayo yote yaliyotokea yangetokea?
 
Bora umekuwa mkweli NN, manake hapa naona watu wameanza kumshambulia Nasra kwa matusi alotoa kwa mumewe na wamesahau kama chanzo cha yote ni fumanizi la mumewe!...


hivi huyo mume angekuwa katulia na mke wake hayo yote yaliyotokea yangetokea?

nasra started b4 sema 2 yey hakufumaniwa mapema coz ktk hayo ma2c kadai ht watoto c wa mchiz mins she started as early as they got married
 
nasra started b4 sema 2 yey hakufumaniwa mapema coz ktk hayo ma2c kadai ht watoto c wa mchiz mins she started as early as they got married
Una uhakika?

Nasra kumwambia husband kuwa watoto sio wake huoni kuwa ni hasira? Alitaka mume nae ayapate maumivu aliyokuwa anajisikia yeye kwa wakati huo,..alikuwa anajaribu kutafuta faraja ni njia mbaya aliyotumia kusolve tatizo lake ila ukweli unabaki bado kuwa binadamu tunatofautiana sana,...ndio mana wote wana makosa.


Kosa la mume lipo wazi kafumaniwa. Kosa la mke vilevile lipo wazi, kajaribu kusuluhisha tatizo kwa njia ambayo sio ya kistaarabu, amekosa busara ya kumuongoza! Pamoja na yote mumewe hakutakiwa kumgonga na kumburuza kiasi kile, kuna vyombo vya dola, angeweza kumkamata na kumfungulia mashtaka ya kutoa lugha chafu...bahati nzuri /mbaya wote wamejikuta wakiongozwa na hasira ... Siku zote hasira hasara!
 
Huyo Nasra aliyataka mwenyewe, hivi alikufa au bado anaugulia machungu?
Bora kama amekufa wakamalizane na Mungu ahera
 
Hata iweje au atukanwe vipi, huyo mwanamme hakupaswa kufanya unyama alioufanya. Kama aliona matusi yanazidi, angeenda kushtaki polisi, kwani kumtukana mtu ni kosa la jinai.
 
Hapa mimi siamini hasira kivp hili neno awe analirudia rudia kila wanapo kutana na huyo mme? :crazy:
Hasira za kufumania bana, inauma umwamwini mtu afu uje ungundue kuwa uaminifu wako ni bure... Ndio mana nasema labda manake kumbuka hawa walikuwa vitani,.. Sina hakika kama mke alikuwa na tabia ya kumcheat husband,...hapa inaonyesha mke alianza kuhangaika na bwana mwingine baada ya kugundua kuwa mumewe sio mwaminifu,...

Ndugu yangu hasira zinaweza kumpelekea mtu kufanya / kusema kitu ambacho kitaushangaza ulimwengu! Majuto huja cadae.
 
Afu unaeza kuta wala hakuna ukweli wowote, ni vile amepata maumivu makali moyoni sasa akaamua kuropoka hivyo ili angalau na huyo mumewe nae aumie kama yeye!

In short Nasra aliathiriwa mno na tukio la kumfumania mumewe, mahangaiko yote aliyoyafanya baada ya tukio ni katika kujipooza tu wala hakuwa anamaanisha kutoka ndani ya moyo wake!...ndio mana wala sio haki kumlaumu/kumuhukumu.

Ka ngoma kakinasa je?
 
Inaweza kuwa ni hasira tu na inaweza kuwa kweli kuwa hao watoto siyo wake kwani wapo wanawake ambao huwadanganya waume zao kuhusu watoto.
Ni kweli NN,.. Wanawake wa aina hiyo wapo sana... Ujue mimi nimesema labda ni hasira ndizo zimempelekea kusema hivyo manake kwanza amesema vitu vingi sana kumhusu huyo mumewe...

Chukulia pale alipomwambia kuwa 'kwanza hana nguvu za kiume' mwenye burara atauliza vipi asiyekuwa na nguvu za kiume akafumaniwa? Na je yeye kama mke alikuwa anaishije na mwanaume asiyejiweza?.. Si unaona hata hilo amelitamka kwa hasira? Amehisi kudhalilishwa na mumewe na yeye akaamua amdhalilishe hata kwa yasiyokuwa ya ukweli... Sijui bana lol.
 
Je ungekuwa wewe ndo umetendewa hivyo bado ungesema hayo? Au angekuwa ndugu yako ungesemaje?

Babu DC!!

hata kama ni ndugu yangu potelea mbali,tabia na matendo ya Nasra yalizid kiwango cha ubinadam wa kawaida,hata kama mtu alikuwa mpole vip inabid sasa uvumiliv uwe ziro,so simlaumu hata kidogo huyo mme wa Nasra.Nasra kavuna alichopanda.wala siwez mwonea huruma
 
Back
Top Bottom