Naskia BSS bila kura ingekuwa catastrophy!!

To Namdawa

Na wapenda kingereza wengi kama wewe ndio huwa hawa vote , kwa sababu wanaona ni local show ,so support hawatoi ..lol .

Nilienda kucheki live ile show, kitu nilichogundua hakuna wapenda kingereza wengi na ile crowd ya Runways na Sploit 4 choice huwezi ikuta kule ,ilikua mjumuiko wa waswazi na sisi angalau wapenda chetu.
 
[COLOR=green said:
Kwa mtu kama mimi,hata kama nipo Dar,huwezi niambia nimpigie kura mtu dhaifu na asiye na uwezo kama Mbati eti kisa tuu anatoka mkoa mmoja na mimi,wewe hata siku ya pambano la Kaseba na Cheka bila shaka ungeniambia nimshabikie Kaseba kisa tuu katokea Dar[/COLOR]!!!
sidhani kama hapo uko sawa.Sidhani kwamba Kelvin alikuwa dhaifu.Kwanza dhaifu katika lipi kwani lazima unaposema hivyo uwe na comparizone.Kwani huwezi kusema mtu asiye na uwezo wakati huna mwenye uwezo na sio tu uwezo lazima ujue ni uwezo upi unaouangalia kama wewe je? ni uwezo wa kuimba au wa kuongea kiingereza/kiswahili/kifaransa au ni uwezo upi?ina maana kwako mwenye uwezo alikuwa mwingine pamoja na kuwa inawezekana upo Dar?hilo sio tatizo kumpigia kura mtu mwingine hata kama ni mzuri kwa wengine lakini wewe ulikuwa na chaguo lako hata kama si zuri kivile.ambavyo ni sawa.Lakini uwezo unaousema wewe ni katika fikra potofu na za kukandamiza na kudidimiza kwani hata kama Kelvin hakuwa chaguo lako bado si kana kwamba hakuwa mzuri katika sanaa ya leo lakini inawezekana kwa viwango vyako hajakuvutia.Ndio maana leo watu huoa na kuolewa kwa vigezo tofauti hata wakati mwingine unamshangaa mtu alichochagua kumbe si kana kwamba msichana/mvulana aliyemchagua ni chaguo la mwingine.Ndio maana nilisema tusonge mbele lakini ukimchambua sana mtu ni kama kuchambua asali na mwisho wake ukaona kinyaa hata kula ukijua asali ile imetokana na nini.Cha msingi tunapaswa kutoa maoni yetu kutokana na utashi wetu na sio kuponda mwingine wakati huna cha kulinganisha.Yule mmoja alikuwa anakwenda zaidi kizungu wakati mwingine alikuwa anakwenda kibongoau kikwetu ama kiswahili tulichozoea sasa hapo unawezaje kusema huyu ana uwezo na huyu hana uwezo katika lipi kwani kuimba wote walikuwa wanaimba na waliwapendezesha mashabiki wao hivyo tuwatie moyo na sio kuwavunja moyo.
 
Back
Top Bottom