nasimu ya vodafone 135 nataka kuifrash wakuu nisaidieni

nasimu ya vodafone 135 nataka kuifrash wakuu nisaidieni

miksel.sifaham kwanini unataka kuiflash hiyo sm.je? 1.Haiwaki au inatumia line moja? 2 umesema UNATAKA KUIFLASHI je vifaa unavyo kama flasher box na vinginevyo? Nakama unavyo umekwama wapi? Mkuu fafanua watu wachangie.
 
hiyo itakuwa ina2mia line 1 akuna lingine hzo zinatoka kama upo dar tafuta kwa fundi cm yeyeto ukikosa nipm
 
Back
Top Bottom