Nasikitika bati langu linaelekea kujaa ving'amuzi huku tcra wakikazana kupelekana shule za bil. 2...

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
820
1,335
Hivi jamani kwa nini kusiwe na king'amuzi standard kinachoshika local channels zote , hata kama mnahamia digitally ndio mnaendesha mambo kibabe hivyo....kwa hiyo kila television iwe na king'amuzi chake hii ni biashara ya CC......au ni utendaji mbovu wa hawa TCRA??????:A S 13:
 
huo ni mwanzo tu mkuu hata picha halijaanza unalalamika.

Jiandae kuwa dj mkuu maana sebule zetu lazima ziwe kama studio za kurushia matangazo
 
dah! mkuu hadi sasa nina ving'amuzi vitu, na. yote hivyo ni pumba tupu hakuna cha maana.
 
huo ni mwanzo tu mkuu hata picha halijaanza unalalamika.

Jiandae kuwa dj mkuu maana sebule zetu lazima ziwe kama studio za kurushia matangazo

Wanasubiri wanasiasa waje wapige kelele ndiyo washituke.
 
Wenzetu wa Kenya wameanza maandalizi ya kuingia katika teknolojia ya Digital kwa kupeleka mswada wa sheria bungeni kupiga marufuku uingizaji wa TV za CRT na kuruhusu za Digital.
 
Wenzetu wa Kenya wameanza maandalizi ya kuingia katika teknolojia ya Digital kwa kupeleka mswada wa sheria bungeni kupiga marufuku uingizaji wa TV za CRT na kuruhusu za Digital.

ishu sio CRT bali ishu ni ving'amuzi lukuki ambavyo ni shudu tupu.. hili sio bure kuna 10% za watu ndio zinatutesa sisi wanyonge maana hizo 138K za DSTV sio mchezo..
 
ishu sio CRT bali ishu ni ving'amuzi lukuki ambavyo ni shudu tupu.. hili sio bure kuna 10% za watu ndio zinatutesa sisi wanyonge maana hizo 138K za DSTV sio mchezo..

Pole Mkuu, mi nimeamu kubaki na dish la futi 6 kwa sasa. Hii ndio Tanzania zaidi ya tuijuavyo, Tusubiri mwisho wake tuone ni nini.
 
Na tena ukitaka channels za MBC zote unaweza kufunga dish dogo pembeni ya hlo la 6ft na ukatumia receiver hyo hyo moja,. Unachofanya ni kuunga Lnb ya dish dogo kwny Disecq switch moja na hzo za dish kubwa,mchezo umeisha.
 
Me napenda kuwashauri msiwe na haraka ya kununua kingamuzi chochote kwa sasa as inavyoonekana wote hawajitambui naka ukinunua utajikuta unavyo kiabao ndani. Go for DSTV for now then mwakani utapata jibu au baada a miaka miwili. Its possible that most of the TV channels will join DSTV for better coverage while for one local subscriber to show up.
 
kweli tucwe na pupa na hawa jamaa awajitambui kabisa ngoja watakapo jitambua wakaja na jambo la muhimu ndo tuamue tufanye nn ila kwa sasa dish ni best solution kuliko huu wizi wanaotufanyia mchana kweupe
 
Back
Top Bottom