Nasikia yale ma v8 yana pigwa mnada

yangoma

Member
Sep 1, 2011
72
2
Kwema wa jf nimesikia mtaani ila sina uhakika kuwa yale mashangingi ya vigogo yananadiwa je kama ni kweli si watauziana humohumo
nipeni ukweli
 
umesikia habari hizi mtaa upi? tunazisubiri mitaa ya daily noise samahani, daily news!
 
Kwema wa jf nimesikia mtaani ila sina uhakika kuwa yale mashangingi ya vigogo yananadiwa je kama ni kweli si watauziana humohumo
nipeni ukweli
Join Date : 1st September 2011
Posts : 18
Rep Power : 0
Tuwafahaumu wageni na habari zao!
Akikomaa atafahamu chakuandika!
 
huyu bwana sijui kama kapitia jukwaa la ukaribisho. isije kuwa napesquad kaja kutupotosha humu ili tusijadili habari za muhimu tujadili ujinga tukasahau ya igunga,kagoda,jk nk
 
Join Date : 1st September 2011
Posts : 18
Rep Power : 0
Tuwafahaumu wageni na habari zao!
Akikomaa atafahamu chakuandika!

yaani umekuja kuteletea majungu tu hapa/. Nenda kwanza kamalizie suala la mahakama ya kadhi
 
Karibu JF ila next time news kama hii unaipa jina la Tetesi bse hauna uhakika!
 
Back
Top Bottom