Nasikia sauti.....

samani Likwanda kama nimekukwanza. hata hivyo kwani kuwaaga wapendwa kuna tatizo gani?

Pole sana mkuu, umeonesha ustaarabu mkubwa sana hii inanifanya niamini kile ulichopost kinatoka moyoni na sio kupoteza muda, pia nawashukuru sana wote waliochangia kwa kuni quote pia wameonesha ustaarabu mkubwa sana. Kila la kheri msalimie shem na familia yote.
 
Mkuu usiwe na wasi wasi ni just kuwekana sawa tuu
Ni mtu wa ajabu atakayemuattack mtu wakati ametoa wazo lake
Akiwa mstaarabu na wewe unamjibu kistaarabu
 
hapo kwa buluu, unamaanisha mpenzio/mwenza? for a second i wanted to say 'oh,there goes mommy's buoy!'
hujaacha uchozi tu halafu under 18 kibao humu siku hizi lazima kidogo kuficha mambo. namaanisha my lovely sweetheart!
 
Pole sana mkuu, umeonesha ustaarabu mkubwa sana hii inanifanya niamini kile ulichopost kinatoka moyoni na sio kupoteza muda, pia nawashukuru sana wote waliochangia kwa kuni quote pia wameonesha ustaarabu mkubwa sana. Kila la kheri msalimie shem na familia yote.

thank u so much na karibu. ni wachache wanaweza kureact kama wewe. God bless you.
 
ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming Tonight. Naondoka jamvini hadi hapo Jtatuuuuu........
wikiendi njema...mwaaaaaa!
i knw the sufferings u r going thru
manake mimi jana nilifikia pabaya zaidi yako
iwe iwavyo ila nenda kamuone usije ...................
 
oohh coming home tell the world your coming home....gonna miss u anyway

I'm coming home to your loving heart
Till the one that I was
True way and broke apart

I want you I need you
A chance is on I'm asking now
I must get back to you so now
So I am coming home to you
'Cause I am nothing without you
May be you found somebody new
'Cause I'm still coming home to you

Please let me stay and forget your pride
Now my world is falling round
I got know when behind

I want you I need you
I know with true I made you cry
Then like a fool I say goodbye
Now I am coming home to you
Yes I am nothing without you
May be you found somebody new
But I'm still coming home to you

will miss you too pal.
 
That's sooooo loving ,then cant wait to see u home...
 
i knw the sufferings u r going thru
manake mimi jana nilifikia pabaya zaidi yako
iwe iwavyo ila nenda kamuone usije ...................

Maria hope you have a good lesson throug this ahhhh that for me i call it love..na sio ile ya jana i was dsapointed maria !!
 
ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming Tonight. Naondoka jamvini hadi hapo Jtatuuuuu........
wikiendi njema...mwaaaaaa!
Kuna kitu kimoja huwa napenda kusema especially kwa watu ambao walio kwenye mahusiano kila siku jifunze jinsi ya kumjali mwenzako ili siku akiondoka usije ukijilaumu na kuanza kusema why i didn't do this or that tujifunze kuheshimiana , kuvumuliana, kusameheana, kumshukuru Mungu kwa kila jambo mwenzako analokufanyia hata na ikiwa ni dogo kiasi gani, tujifunze kushukuru kwa kila kambo analokufanyia katika maisha yako ya kila siku.
 
Siamini haya mabusara yanatoka kwako...isijekuwa mbu au MJ1 anatumia ID yako!...kumbe ukiamua unaweza?... Barikiwa kwa maneno yako mazuri ya kufungulia wikiendi!
 
Hahaha!! Lol Ubarikiwe sana na wewe uwe na wikiendi njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom