Nasikia madaktari wamegoma tena?

Walala hoi na waathirika wa migomo hii inabidi nasi tujipange sasa, utakuwa muda muafaka kumuuliza huyo aliye jipa mamlaka ya kuwasimamia atupe hesabu zake!
 
Ukitaka kufanikiwa Tanzania usigome kwa sababau maisha yamekubana na huna jinsi au kwa jazba kwa sababu umeona rafiki yako au mtu unaye mfahamu amekuwa tajiri ghafla. Ili migomo iwe na manufaa ni lazima kuwepo na determination and with that determination there should be a determined destiny of either getting what your fighting for or dying without, there should be no compromise. However, because of umaskini and not having a common determination and well defined reason for what your fighting for its easy to get apart and to that end you never get what you desired. Believe me what is happening in bongo land in the so called migomo it is a joke of the day, all participants they never have a common understanding.

Look on the recent arab spring revolution, it was a die or live commitment, it was a lose - win situation and not looking for compromises as its used to happen in Tanzania, so called peace loving country.In politics there is no such terminologies as win-win situation, there is only win-lose situation and we should learn it. So what is called mgomo in Tanzania is basically fighting for individual jealous
Your english is so poor that it has a good number of grammatic errors.If you are not good in grammar,why are you expressing yourself in english?Hiyo lugha ina wenyewe wewe unajifanya kuandika kiingereza wakati kiingereza chenyewe kimejaa broken tupu
 
yeah,ni kwel wauguz wa mkoa wa MARA wamegoma na wamesababisha vifo vya watoto wa3 na mtu mzima m1.
source ITV

Charminggirl you are very keen when it comes to the news of lake zone! Charity begins at home eeh?
Back to topic!
Some of their claims have been granted so i dont see the reason for them to strike! Watakuwa hawatendi haki kwa watanzania masikini wanaotegemea utaalam wao
 
Bora wagome tu,huku geita mkuu wetu wa mkoa anaishi hotel tangu alipokuja kulipoti kwenye kituo cha kazi pamoja na wakuuu wapya wa wilaya,wizi mtupu,gomeni wakuu:israel:
 
Waondoke zao nao waache kulinga wafanye kazi,. Watu hawana msimamo tuliwaungs mkono kipindi kile wakalegeza msimamo,. Hatukubali waendelee kutesa watu tena

mliunga mkono jf, lakini kumbuka wananchi wasiojua kusoma na kuandika walishapotoshwa na wanaharakati wapumbavu wanaojipendekezd ili wapate kile cheo ambacho tutakifuta kwenye katiba mpya. If ur memory is intact hata humu madoc walitukanwa na kukejeliwa sana. Kwa mtu ambaye cognition yake iko vizuri hawezi kuendelea kugoma na kiongozi wa nchi alisema atayashughulikia,hata kama humwamini na kumkubali. Wananchi wataona hutaki kuwahudumia ila umekuwa mwanasiasa. Sasa hivi watakaporudi na kauli mbiu ya kukumishwa kwenye mazungumzo hata wananchi watajua nini wanaongea.
 
naona wanawaza kwa kutumia ''matumbo'' yao!

acha tuwaze tu kwa matumbo yetu. Ila siku ndugu yako akipatwa na stroke ukaambiwa ukafanye ct scan regency kwa 350000 badala ya 170000 ya mnh utajua umuhimu wa maneno ya doctors. Siku utakapapatwa na hhd na kushindwa kufanyiwa x ray au echo huko uliko ndipo utakapowakumbuka doctors. Siku mkeo atakapokuwa mjamzito na kulazwa chini ndo utajua umuhimu wa kudai huduma bora kwa wagonjwa. Watu wengine ccm imewaathiri sana. I hate people who think within the context of political parties rather than their best life. Ushabiki wa vyama ndo unasababisha wengine wanakuwa na uhakika wa kutibiwa na familia zao kwa kodi zetu huku walipa kodi hatuna hata uhakika wa kupata dawa. Tuwe tunafikiria kuboresha maisha yetu kwanza ndipo vyama baadaye.
 
mliunga mkono jf, lakini kumbuka wananchi wasiojua kusoma na kuandika walishapotoshwa na wanaharakati wapumbavu wanaojipendekezd ili wapate kile cheo ambacho tutakifuta kwenye katiba mpya. If ur memory is intact hata humu madoc walitukanwa na kukejeliwa sana. Kwa mtu ambaye cognition yake iko vizuri hawezi kuendelea kugoma na kiongozi wa nchi alisema atayashughulikia,hata kama humwamini na kumkubali. Wananchi wataona hutaki kuwahudumia ila umekuwa mwanasiasa. Sasa hivi watakaporudi na kauli mbiu ya kukumishwa kwenye mazungumzo hata wananchi watajua nini wanaongea.

nimekuapata mkuu,. Tunachohitaji ni dhamira ta ukweli na misimamo wakat wote tupo pa1 na nyie,.
 
Kuna mtu mmoja hawezi kugoma! Huyu ni mganga mkuu wa mkoa wa Mwanza tangu apangiwe kituo cha kazi anaishi hotel, kila mwezi anapewa hela ya pango mil.6 tsh, kibaya zaidi hizo fedha za pango hazitoki hazina bali ni cost sharing- makusanyo ya hela inayotolewa na wagonjwa kuchangia huduma, ndio maana hata asprin tu wagonjwa wanaandikiwa kununua wenyewe. Nawaomba wanajeshi mtupe hata dk 5 tu tuingie ikulu tumchape ****** mboko!
 
Back
Top Bottom