Waambie wakitoka kwenye mkutano wao waje pale jangwani saa kumi kuja kusikiliza suluhisho la matatizo Yao mwaka 2015BAdo hawajagoma lakini wanajiandaa kuhudhuria kwenye mkutano wao mkubwa sana kesho kupeana feedback ya usanii waliofanyiwa na serikali siku zote hizi tangu Mh.presidaa alivyoingilia kati mgomo wao..Maamuzi mazito yanaweza kutolewa!!
Labda hapo ulipoambiwa wamegoma walikuwa wameondoka kuja Dar!
Hawana ubavu wa kugoma!!
Hawana ubavu wa kugoma!!
Niko kwenye kikao so sijui nini kinaendelea ila kuna mtu kapita hospitali ya mkoa niliko anasema madaktari wamegoma, hivi inatokea na maeneo mengine pia au?