Nasikia kuna degree za "chupi"

we chupi::::hauna hesima kwanza anza na salamu kwanza we ni member mpya humu janvini inaonekana hauna heshima hata kwa wazazi wako
 
jamani hili lipo kila siku na kuna watu hata ddarasan waalikuwa wanajulikana kabisa wanatoka na first class ya kuvua pichu lakin pia haiko centralized kwa wadada peke yao hadi wakaka mweh! tena siku hizi wapo wanaofirwa ili wapewe maksi na wapo wanaotembeaaaaaa na malecturer wa kike so ni ngoma droo kasheshe kazin ndo mpango mzima wenyewe unakuta wanaji isolate manake aliyekwenda kwa kuvua chupi performance yake inaonekana na aliye kwenda kwa kuwa kichwa pia inaonekana.
 
Eeeeeeeeeeh! Kweliiiiiiiiiii, binti GPA ya tano, Msela Gentral ya 2.2, Ndo bongo hiyo
 
Huo ndio ukweli, kuna mtu siku moja alieleza isivyo sahihi mbele ya watu, eti aliwaambia ni za wale wenye GPA ndogo, wanaopewa alama ndogo kila mara kutokana na mabeef na chuki binafsi za lecturers, na kuwafanya eti wawe wanaogopa kuonyesha matokeo yao, kwa sababu ya aibu, eti bora waziweke kwenye chupi, zisionekane hadharani, hakuelewa hasa ila niliamua kuuchuna but later nikamwelezea mshikaji mwingine but tayari alikuwa anajua pia, hizo ni degree za kutoa rushwa za ngono, wanafunzi wa kike anaweza akalazimishwa kwa kutishiwa kufelishwa, au wengine wanawatega malecturer wenyewe na kujiachia kwa sex, but kuna baadhi pia ya malecturer wa kike, wanawalazimisha wanafunzi wa kiume kuwa na mahusiano nao, asipokubali, atapata shida sana, malecturer wanawapa shida kwa kuwafelisha pia wapenzi wa watu wanaowataka, kama huyo anayemtaka, kamtolea nje, Wanafunzi wanatakiwa kuwa na Umoja, sio kumshawishi mwenzako akubali ili asolve tatizo that way, mnaweza kuwa mnamuangamiza mwenzenu, mshirikiane, kamateni sms, tafuteni ushahidi wa kutosha, mwenzenu anaweza kujifanya kakubali kule, so ,mnakuwa mnamtrap tu huyo lecturer, kwa photos, videos, wanapotoka out, kukumbatiana, but asido naye kweli tu, kisha mnavirusha hewani, mnafikiri atarudia, ila kama kuna upendo wa kweli kati yao, hajatishwa mtu, kakubali toka moyoni mwake na wana nia ya kuwa pamoja kweli, it's ok, kuna watu walipendana na kuoana na malecturer wao kweli
 
Zinaitwa STD's yani Sexually Transmited Degrees!

hii kali kaka!
Umeipata wapi?
Yani degree chupi, kazini chupi, lifti chupi, hata ukitaka salary nayo itakuwa chupi tu!
Chupi system!
 
degree za chupi zinamaanisha mabinti wameenda kusoma chuo lakini uwezo wao ni mdogo ila wamebebwa na waalimu wao kwa kutembea nao wakawa wanapewa mitihani,test na kupewa maksi nzuri mtindo huu nasikia upo sana IFM,CBE,UDSM

Kwa usomaji wangu wa miaka zaidi ya 2 UDSM ni rare cases hizo, kwakuona kabisa saint Johns university Dodoma test walimu wanauwauzia na kuwapa wanafunzi wao. Mfano dhahiri ni kwa wale wanaosoma Bachelor ya nursing hupewa kuanzia test hadi UE. Kwa wale wanaosoma educations nao wala ni kitu cha kawaida saaaana kuwakuta wakiwa wana discuss test ama UE itakayofanyika siku inayofuatia. Kwa taarifa yenu tu wanajamvi wengi wanaosoma bachelor ya nursing st john ni wa mama wanaotokea kazini kwao na hutumia pesa wanazopata kuwapangishia vijana ambao ni bright kwa lengo lakuwa wanasovia tests na paper zao humo chumbani.

Mleta thread uko sawa lakini kiasi kikubwa hapo UDSM, st john bwana mwisho wa matatizo
 
Kwa usomaji wangu wa miaka zaidi ya 2 UDSM ni rare cases hizo, kwakuona kabisa saint Johns university Dodoma test walimu wanauwauzia na kuwapa wanafunzi wao. Mfano dhahiri ni kwa wale wanaosoma Bachelor ya nursing hupewa kuanzia test hadi UE. Kwa wale wanaosoma educations nao wala ni kitu cha kawaida saaaana kuwakuta wakiwa wana discuss test ama UE itakayofanyika siku inayofuatia. Kwa taarifa yenu tu wanajamvi wengi wanaosoma bachelor ya nursing st john ni wa mama wanaotokea kazini kwao na hutumia pesa wanazopata kuwapangishia vijana ambao ni bright kwa lengo lakuwa wanasovia tests na paper zao humo chumbani.

Mleta thread uko sawa lakini kiasi kikubwa hapo UDSM, st john bwana mwisho wa matatizo



wote ni wapuuzi wanaoviliwa na wanaovua. Maadili na akili zao zero
 
zipo hizo degree mkuu, akili inatumiwa kwa kiasi kama 5% ila "biology" inatumika to the maximum yaani inakuwa fully utilized to 100% ili grade nzuri zipatikane na GPA nzuri pia ila wakija mtaani Empty kabisa
 
Wanaopewa hizo degree ni wale wenye uwezo mdogo..Wanaogopa kukamatwa... Mtu una Firts Class na kila somo unafundishwa na walimu tofauti utagawa kwa hao wote? Mfano Mimi nilifundishwa course 38 Miaka Mitatu na Walimu 14 sas hapo uchupi uko wapi? Unless uwe unazungumzia wale wanaohitaji kupata hata karai ili wasipate 1.8 ya ku Disco
 
wakuu husikeni kichwa hapo juu ningependa kujulisha aina ya elimu hii
watu wanakuaje wasomi wa aina hiyo??
Au ni wivu tu kwa wanataaluma wetu
 
NDUGU ACHA KUGENERALIZE,INAMAANA KWAMBA HATA WANAUME TUNAPATA DIGREE ZA CHUPI?.UNGEANZISHA MAADA KWA KUWEKA KICHWA CHA HABARI KIZURI.NA HUYO ANAESEMA KUHUSU DIGREE YA CHUPI.MMM SIDHANI KAMA ANAONGEA KWA MOYO WOTE.INAWEZEKANA WALIMKAMATA.HAHAHA.NA SI WOTE WANAWAKE,KUNAWANAWAKE WANAPIGA M:fish:SULI WANAUME TUNADUWAA TU,UTAMKAMATIA WAPI HUYO.WAJINGA NDIYO WALIWAO
 
Back
Top Bottom