Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,206
- 42,068
Subiri
Lakini nguvu za Kigoma kwa jina la Yesu zitashindwa!
Angalia,yasije kurudia mwenyewe!
Lakini nguvu za Kigoma kwa jina la Yesu zitashindwa!
Angalia,yasije kurudia mwenyewe!
Subiri
Afu mke wa mtu anakuwaga mtamu sana,unataka unionje?
Shahidi Bishanga.
Sina jinsi,kesho naamkia anjun mafia,kuna genge la vinuka mkojo wameamua kuvamia chichat kwa lengo la kuiparanganya,dawa yao ni ndogo,ni kuwapiga albadr,haiwezekani jitu lilale likiamka lije litutukane chichat bila sababu, nyie wana wa kutoka pachafu mnaokuja kututukana hapa chichat eti hatuna akili jiandaeni kuvaa suruali pana bila kufuli,ku....la mafyampuzi yenu.
Naunga tela. In fwact umedhamiria kuwateketeza? Rick Ross madevu amekurudishia gari yako?
Na mimi mnipitie!
Lazima hivi vidudu watu tuviteketeze hapa Chit-Chat!
tukupitie? Wapi? Kivipi?
Siungi mkono hoja
Ndio,mnipitie!
Maeneo ya Gongo la Mboto,pale kwa muuza ndizi.
Nadhani mkitumia bajaji itakuwa imekaa safi.
kesho mna paper gani?
Geography na History......hizo ni rahisi sana
Bishanga atakupitia.
Haya nenda kapge msuli.
Nishapiga vya kutosha sahizi najipumzisha jf
Hahahahahaha. Umenisahau mimi?
Ukilamba nini?
Akuonje umekuwa mchuzi,tena shem unaniuzi ujue!
kwanza 2jiullize wana chit-chat kwa nini watu wanatuonea donge jb ni moja tu sisi tupo juu humu JF!