Nasikia Bishanga Unapenda Fruit Salad....

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
download

Source: Mahali fulani kwenye net.
 
Hapa mtoa mada mi kama sijaelewa aim yako it means umelenga Bishanga pekee ndo achangie au? Maana inatuwia ugumu wengi wetu kumjibia huyu bwn kilichoulizwa.
 
Hapa mtoa mada mi kama sijaelewa aim yako it means umelenga Bishanga pekee ndo achangie au? Maana inatuwia ugumu wengi wetu kumjibia huyu bwn kilichoulizwa.

Nina uhakika na mlengwa (kwa maana hiyo ningependa atibitishe hadharani) japo watu wote mnaopenda fruit salads hamkatazwi kuchangia. Karibuni"
 
Kama unabisha weka tusi la kihaya hapa anavyo sign in yeye tu within a few seconds unapigwa ban huku id yake ikiwa offline.
 
Job true true

ina maana wewe mtoboasiri umemwelewa? hivi anataka kutoboa siri gani hapa?
btw babu yenu hajambo? Eid kasalimika ? maana mara ya mwisho alionekana katumbukia kwenye mtaro full chinga maeneo ya mfaranyaki songea.
 
Hapa mtoa mada mi kama sijaelewa aim yako it means umelenga Bishanga pekee ndo achangie au? Maana inatuwia ugumu wengi wetu kumjibia huyu bwn kilichoulizwa.

mie hata simwelewielewi,kama kuna anachotaka kusema si aseme tu?
 
Back
Top Bottom