Nashukuru.

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
901
590
Jana nilipiga shati yangu nyeupe,ile nakatiza kitaa,kunguru kaninyea begani.Namshukuru MUNGU ng'ombe hana mabawa hivyo hawezi ruka angani.
 
Jana nilipiga shati yangu nyeupe,ile nakatiza kitaa,kunguru kaninyea begani.Namshukuru MUNGU ng'ombe hana mabawa hivyo hawezi ruka angani.
There is an English version of this joke here on the jokes column!
 
Kama nishawahi kuiona hii hapa jamvini, ila nadhani ilikua kwa lugha ya kiingereza. Anyway Tunashukuru lakini.
 
Pia ushukuru Mungu kuwa bata ana mabawa lakini haruki kiasi hicho, maana; angekufanyia mambo ya aibu kwenye shati! Hahahhaaa
 
hahahahahahahah balaa la ng'ombe kuruka na kuachia vitu ju kwaju mbona ingekuwa sooo chukulia ndio mnafuturu sasa !!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom