Nashukuru wa Jf NIMEWEZA

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Wanajanvi ninashukuru saana tena sana.Leo nifurai saana tena saana baada ya kupost hii thread ya kuwapongeza na kuwashuru saana kwani wewe uliyefungua sijui unataka nini lakini umeifungua hii thread.
Ninakushukuru saana.
 
kumtambua mwenda doro....si lazima umwone akikaanga mapera
 
nadhani ulipost muda ambao kinywaji kilikuwa kimeanza kupanda kichwani.
 
nadhani ulipost muda ambao kinywaji kilikuwa kimeanza kupanda kichwani.

Si bora kingekuwa kinywaji!! Hapa navyoona mimi ni kuwa alikuwa aitume hii message kwa mlengwa akakosea kuirusha jamvini!! Mkuu Alexism, rekebisha hii thread yako haina ujumbe wowote unatuharibia jamvi.
 
Wanajanvi ninashukuru saana tena sana.Leo nifurai saana tena saana baada ya kupost hii thread ya kuwapongeza na kuwashuru saana kwani wewe uliyefungua sijui unataka nini lakini umeifungua hii thread.
Ninakushukuru saana.

unashukuru sana kwa walio kubaka kwa hiyo unataka tena
 
na mm nashukuru uongonzi wa mirembe kwa kuwawekea internet wodini.
 
Back
Top Bottom