Nashukuru Nimepata mpenzi

...ni rafiki wa ex-girl wako, mmh! it sounds awkard! ila all z best...i can't call U loosers rather winners
 
Mh! Lizzy vibaya hivyo unavonfanyia mtoto wa mwenzio mm!
Thanking u nJF really it cant sound kumoyo coz nijuavyo mie thanks nzuri ni zile ntakazo kudedcate pale unaponifkisha yaani @ the time when you will be imagining dat u're really touching da sky c unajua anga za malove ukfka hutaki shuka huko.
Njoo mommmy tule bata!!
Huko kote?Mbona mbali sana...hakufikiki kwa miguu na nauli ya bus sina!we nihonge za hapahapa!
 
ndugu wana jf

wengi nadhani mliliona tangazo hili

"natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45
awe anaishi dar es salaam
"


baada kusota benchi kwa miezi 8 bila timu wala kuchakachua, nakuamua kutafuta mpezi kwenye forums hii napenda kuwajulisha kuwa nimempata kupitia hapa hapa, bahati nzuri pia alikuwa rafiki ya girlfriend wangu tulieachana, na ameniahidi kuwa atanipa mapenzi motomoto,
hasa ukizingatia alikuwa nae alikuwa broken heart like me.

i.e. Society of broken hearts(sob)

idumu jf
with thanks
wenu
bangu


meku leeeeeeeeeeeeeeeeeeee
babangu angalieeeeee usijerudi hapaaaaaaaaaaa na kilio tuombe mungu asikuchakachue maana kwenye mtandao wachakachuaji mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kila la kheriiiiiiii mpwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom