Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Ntafurahi!Ila mwache...labda ndivyo anavyopenda yeye!!
njoo nawe ukae upande basi
Ntafurahi!Ila mwache...labda ndivyo anavyopenda yeye!!
kaa chonjo
nifafanulie basi,nikae chonjo kivipi?maana huku j.f couple zipo nyingi,pengine na mimi wangu yupo humu humu
Hahahaha...asante ila sidanganyiki!njoo nawe ukae upande basi
Hahahahaha!We Kimbweka umetumwa?nipo hapa usiumie
Hongereni...msiumizane sasa!
Nani kakwambia kuna nafasi???Lizzy!
Plz nifanye oneday ni-sizzzzzzy mikononi mwako!
usiogope kaa chonjo utapata
Nani kakwambia kuna nafasi???
Nani kakwambia kuna nafasi???
Wapi nimesema sijaolewa??Kwanza umejuaji mi sio mtawa?Jamani liz acha roho ajiz
si umesema hujaolewa ww it means u r free au huyo uliyenae ushajirahisi uwe mali yake? Mi nataka kukuWoWa!
Lizzy usiseme hivyo jamani!
When you love someone,
it is something.
When someone loves you it is another thing,
when you love the person who loves u back,
it is everything.
Umeelewa Lizzy?
Nipende basi uwe wa ubani wangu!
Hahahaha...NIMEELEWA!Ila mbona unakuja kwa gia kali hivyo?KULIKONI?
hii inaonesha jinsi gani nahtaj kuwa na ww!
Nashukuru km umenielewa coz they uses to say that;
love is not only loving but understanding n it is not how you make effort but how you appreciate!
plz plz Lizzy niPM namba yako tulonge vizr nje ya JF si unajua malove yakikolea inakuwa nongwa kwa wengine!!!
Hahahahahhaha!!!U made my day!!!
Anza kunihonga ma-Thanks humu ndani labda ntakufikiria!!!