Nashukuru JF kwa kunikutanisha na huyu mchumba japo tumeachana

Fasouls

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
939
316
Ilikuwa ni tar 01/03/12 siku niliyokutana nae rasmi hapo jf,nilifurahi sana na yeye vilevile kwan tuliona kama ni ndoto.
Malengo yetu yalikuwa ni kuoana na alisisitiza sana tusifanye mapenzi mpaka ukifka mda flani.
Sasa juzi tuliamua kwenda kutulia maeneo flani kwa kuwa wkend ilikuwa imeanza ikabidi tuchukue chumba ilituondoke kesho yake,tuliendelea na mazungumzo kama kawaida ila baadae hali ilianza kubadilika,ila aliendelea kusisitiza tusifanye kitu chochote,ila kwa jinsi alivyokuwa nakaisi kama ananitega basi IKABIDI NILALE NAE,kumalza tu alilia sana na kusema huo ndio ulikuwa mwanzo na mwisho wa mimi kumuona!
Kweli kwan mpaka sasa hapokei simu yangu wala kureply msg zangu ila ananitumia sms kwamba ANITAKI TENA.moyo unauma sana kwan nilimpenda na kumzoea pia,
Nimejaribu kumwambia dada yake aniombee msamaha ila haijasaidia.
Naombeni ushauri wenu kwan nampenda!
 
mambo ya mtandao! duh kaz kwel kwel... chapa lapa ushaliwa wewe tafta mtu unaefahamu mrudisho nyuma wake co kudandia kwny mtandao..
 
Ulivofanya sio vizuri hata kidogo miharaka ya nini?...kitu kitakachokusaidia labda kama umemgonga vizuri after some days atakutafuta mwenyewe otherwise forget about her...
 
duh.. sasa kama ni member humu na anaona unavyoweka yalitokea hapa kweli hii itasaidia..?, Cha maana kama anakupenda na mnapendana mpe time atulie, inaonyesha anataka mtu ambae yupo serious muonyeshe kwamba upo serious usikate tamaa na kama kweli mmeshibana mwambie tu muendelee kujuana kama marafiki na mwisho wa siku mtaoana
 
Nenda kahakikishe afya yako inaonyesha hukutumia condom wewe
 
Ulivofanya sio vizuri hata kidogo miharaka ya nini?...kitu kitakachokusaidia labda kama umemgonga vizuri after some days atakutafuta mwenyewe otherwise forget about her...

Duh.....kweli hii comment ya ki- professor= reflect your name.
 
Ilikuwa ni tar 01/03/12 siku niliyokutana nae rasmi hapo jf,nilifurahi sana na yeye vilevile kwan tuliona kama ni ndoto.
Malengo yetu yalikuwa ni kuoana na alisisitiza sana tusifanye mapenzi mpaka ukifka mda flani.
Sasa juzi tuliamua kwenda kutulia maeneo flani kwa kuwa wkend ilikuwa imeanza ikabidi tuchukue chumba ilituondoke kesho yake,tuliendelea na mazungumzo kama kawaida ila baadae hali ilianza kubadilika,ila aliendelea kusisitiza tusifanye kitu chochote,ila kwa jinsi alivyokuwa nakaisi kama ananitega basi IKABIDI NILALE NAE,kumalza tu alilia sana na kusema huo ndio ulikuwa mwanzo na mwisho wa mimi kumuona!
Kweli kwan mpaka sasa hapokei simu yangu wala kureply msg zangu ila ananitumia sms kwamba ANITAKI TENA.moyo unauma sana kwan nilimpenda na kumzoea pia,
Nimejaribu kumwambia dada yake aniombee msamaha ila haijasaidia.
Naombeni ushauri wenu kwan nampenda!

Baada ya sakata la Kanumba na Lulu, wadau wa mapenzi ya wizi wanaogopa.
 
Mzee uligonga au??? Iwaje alie baada ya kumaliza sijui kudo?? Mawili aidha hakupanga kudo hivyo wewe ukalazimisha au si mzima sasa analia kukuua.
 
Ilikuwa ni tar 01/03/12 siku niliyokutana nae rasmi hapo jf,nilifurahi sana na yeye vilevile kwan tuliona kama ni ndoto.
Malengo yetu yalikuwa ni kuoana na alisisitiza sana tusifanye mapenzi mpaka ukifka mda flani.
Sasa juzi tuliamua kwenda kutulia maeneo flani kwa kuwa wkend ilikuwa imeanza ikabidi tuchukue chumba ilituondoke kesho yake,tuliendelea na mazungumzo kama kawaida ila baadae hali ilianza kubadilika,ila aliendelea kusisitiza tusifanye kitu chochote,ila kwa jinsi alivyokuwa nakaisi kama ananitega basi IKABIDI NILALE NAE,kumalza tu alilia sana na kusema huo ndio ulikuwa mwanzo na mwisho wa mimi kumuona!
Kweli kwan mpaka sasa hapokei simu yangu wala kureply msg zangu ila ananitumia sms kwamba ANITAKI TENA.moyo unauma sana kwan nilimpenda na kumzoea pia,
Nimejaribu kumwambia dada yake aniombee msamaha ila haijasaidia.
Naombeni ushauri wenu kwan nampenda!
Siku nyingine ni vema utueleze tangu awali mnapoanza kufanya miadi ili tuweze kukushauri nini cha kufanya ili yasikupate tena haya. Hivi sasa kilichosalia ni majuto ni mjukuu, kama ungetafuta ushauri mapema wanaojua wangekuambia nini cha kufanya
 
anakutega. alitegemea mchukue chumba kimoja hata msigusane?. mademu wa hivyo wapo. mpe mda, atakutafuta. hao wanaitwa wasichana.
 
Yaani kweli ww great thinker! Less than 6 weeks ago mmekutana jf, sijui appointment ya mtaani ilifanyika lini, mkaanza kuongea ndoa lini. Ukafanikiwa kungonoka nae (sijui kama mlipima na kutumia kinga?), na sasa umeshapigwa chini!

Pole mwaya, fungua uzi utafute upya. Jungu kuu hili, ukoko haukosekani!
 
LiKe LiKe LiKe

yaani huu muda ndo umeniacha hoi?
Watu mnajua kupenda aisee.

Yaani kweli ww great thinker! Less than 6 weeks ago mmekutana jf, sijui appointment ya mtaani ilifanyika lini, mkaanza kuongea ndoa lini. Ukafanikiwa kungonoka nae (sijui kama mlipima na kutumia kinga?), na sasa umeshapigwa chini!

Pole mwaya, fungua uzi utafute upya. Jungu kuu hili, ukoko haukosekani!
 
Duuhhhhh!!!!!!!!!!!! hata miezi miwili haijafika ushataka kumla??
yawezekana hakupendezwa kabisa, na la kufanya kama kuna
vitu vya mhimu na msimu ulivifanya kwake atarudi tuu baada
ya kusahau machungu ya ule usiku.
 
mpe muda huku ukiendelea kumtafuta kama anakupenda utajua na kama hakupendi utajua pia....
 
huyo mdada nae,khaa yaani ndani ya mwezi kishagawa kila kitu,maharage ya kichina hayo bila hata moto yashaiva.Ila wewe nenda kapime usikute kakutema ili atafute mwanajf mwengine wakumuuambukiza labda,hadithi yako imejaa utata,kinachomliza ni nini,alikua bikira au?
Sitoshangaa ukinambia yeye ndo alikutongoza lol ila nawe pia papara zimekujaa unajiokotea tu mitandaon ndan ya mwez mshaongelea hadi ndoa.
 
Back
Top Bottom