Nashindwa nimuanzeje

Kwe design hiyo hata akikubali hutamfanya chochote!
Mtabaki kucheza rede ya kondom!
 
Mwanamke mtamu ni yule uliyemtongoza kwa maneno ya kinywa chako mwenyewe. Yaliyotoka moyoni mwako.
Jipange.
 
man mwanaume wakwelii haogopii vibuti.mimii hadi leo na vibutiiii 450 na win 550 idadi ya kutongoza ni 1000,now ni mme iprove,ukipigwaa kibuti unajipaa changamoto na kujipangaa kwa style ingine.afuu kwanini usononeshe moyo wako sema kilichopo moyoni mchane live bilaa chengaaa,utazubaa wezako washapuu wabebe ubaki na jerahaa..bora sema mapema.then huyo demu sorry mwanamke unahisi anafeeling zozote juu yako usije kukosea kumbe mwanamke walaa hana wazo juu yako

hahahahahah,
cv yako nimeipenda
 
very simpo,kama unaogopa kukataliwa mwite,mwambie kiujanja janja husiwe direct sana, kwa mfano ukiuliza swali liwe na majibu kuanzia mawili ukiwa umelengesha linalo kufaa, huku ukimsikiliza kama majibu yake yanakufeva wewe au hayakufevi ukisha mpima mara nyingi kidogo (uvumilivu muhimu) waweza anza kumchomekea mada zako,kuwa makini kama tabia zako sio nzuri igiza,kama kujifanya mcheshi mwenye stori nyingi,mwenye busara toa ushauri wa maana ukiombwa kufanya hivo.nitarudi.
 
Cmple fanya research profile za watu facbk uongo m2pu! Fanya vyuoni asilimia zaid ya 90 za wadada mwaka wa 3 wako kwenye relation.
 
Back
Top Bottom