Nashindwa nimuanzeje

jmosi nitakuwa hapo chuo, we nionyeshe huyo dame alafu niachie kazi yote

andaa kitu kama dola 70 hivi.


...Hahahahahah lol! Halafa binti akung'ang'anie wewe badala ya mleta maada. Mkuu mwambie huyo binti ungependa kumuona 'faragha'' (maana hakawii kuja na rafikiye) una mazungumzo naye sidhani kama atakataa ila ujiandae ili usiwe domo zege na kuanza kujiumauma. Kila la heri.



 
Last edited by a moderator:
Jamaa ulifikaje mwaka wa tatu,,?
Chabo nin..?!
Unaweza kumshawish lect akupe alama hata kwa point za kuunga leo unashindwa kumweleza mtu ukweli wenyewe unauhakika nao akakuelewa..!!
Mim naamini unaweza,, labda kama haujajitambua wew nani..?au mwaka wa 3 madrasa..
 
3rd
year hujui kutongoza,wavulana bana ?uwe na tabia ya kuongea na wanawake wakubwa ,wadogo hata kama huwapendi itakurahisishia.
 
Ntakuja chuoni unionyeshe then utaniachia kazi ya kumtongoza. Nikifanikiwa 'nitaanza' mimi kwanza kabla sijakupigia pande.
 
una mtihani
moyo ukipenda mdomo hujaa mate
mwandikie barua labda.
Masikini enzi zile za kuandika barua, unakaa nayo mfukoni mpaka inachakaa huthubutu kumpa. Sawa na vijana wa hizi wanaotembea na ndom mpaka zina"expire" bila ya kupata fursa ya kuitumia.
 
Masikini enzi zile za kuandika barua, unakaa nayo mfukoni mpaka inachakaa huthubutu kumpa. Sawa na vijana wa hizi wanaotembea na ndom mpaka zina"expire" bila ya kupata fursa ya kuitumia.


....hahahahaha lol! ikichakaa si unaindika upya banaaaa...na kuanza kuvizia tena jinsi ya kuiwakilisha kwa muhusika :):)
 
Inaelekea foward line yako haijakaa vizuri!! au viungo ndio wanapwaya?!!

Teh teh teh teh! Fowardline mbovu? Cant help laughing. Nimeipenda. Final third department is not clinical. Ndo yale yale mbwa mzee asofunzwa mbinu za kuwinda. Daah! 3rd yr? Unatuangusha wanaume. Chuo gani upo?
 
Mwambie she‘s the only angel missing in heaven,and that you‘ve tried to gather courage all those years in vain,and even now you‘re still struggling-but that shouldn‘t matter anymore, the truth is you‘ve always loved her,you still do and you forever will..

Hapo kwny you weka ‘i‘ wakati unamwambia..afu malizia, “i want to be with you,“
 
Khaaa ! Kumbe madomo zege humu ndan wapo wengi miaka mitatu ! Kwa speed yangu muda mrefu ningepewa kesi ya mimba.
 
jamani mie namwelewa kiaina

kuna mtu ukimuona roho inaruka
unaogopa kwenda spidi asije akakumwaga kimoja
unaomba ushauri kwa kila mtu ufanye nini

ila kwa hawa wengine unawapangua kama kawaida
bila woga wala second thought

hiyo barua ilikuwa inawekwa kwenye daftari la history au civics maana ni mara moja kwa wiki.
Ila yaweza kaa hata mwezi, na ukiweza kui-deliver unasikia raha.
Masikini enzi zile za kuandika barua, unakaa nayo mfukoni mpaka inachakaa huthubutu kumpa. Sawa na vijana wa hizi wanaotembea na ndom mpaka zina"expire" bila ya kupata fursa ya kuitumia.
 
nimetongoza mara 6 nmekubaliwa mara 1, na aliyenikubali hakua na tabia nzuri so nikamuacha

Kuwa naye karibu sana; check nini anapenda, onesha kumjali vya kutosha, muamuse kiasi kwamba usipokuwepo akumiss. Ukiona inawork mchombeze kwa utani, l am sure kabla hujamtongoza atakuwahi wewe!
 
una mtihani
moyo ukipenda mdomo hujaa mate
mwandikie barua labda.

dah, umenikumbusha mbali.iliwahi kunipata hali kama hii miaka ya nyuma nadhani nilikua kidato cha kwanza au naingia cha pili bana!nimemmendea wee siku moja uso kwa uso na mrembo,tena eneo lisilo na watu wengi,na kimpira changu cha basketball naenda zoezini domo likajaa mate ghafla.alijua namzimia,akanifinyia macho tu kidogo na kujilamba lips tukasalimiana na kuachana mzee sijafanya lolote la maana!si ndo nikaona barua itakuwa mpango mzima!!?nikaichora mwenyewe,full marangi rangi kudadadeki.asubuhi ile nitoke kwenda shule si nikaisahau dirishai, afu bi mkubwa alikuwa likizo.nimegundua niko darasani,imagine mshtuko wake!!!............tulionana miaka mitatu baadae,na kwa mshangao wangu alikuwa bado 'mpya' kabisa.we dated for two years afu ikashindikana,tukagawana njia!dah,umenikumbusha mbali wewe,ngoja nione kama nina namba yake humu..lol!
 
Back
Top Bottom