KWETU PAZURI
Senior Member
- Oct 14, 2011
- 161
- 26
Wanajf me ni kijana nasoma chuo kuna msichana nimempenda, kwa ss nko mwaka wa 3,huyu msichana nko nae grp disc tangu frst yr, mpaka naingia 3rd yr ndo nkagundua nampenda kiasi gan, lifestyle yake anaonekana hapa chuoni hana m2,.nimependa sasa nianzaje naomben steps za kumuaproach