Nashindwa kuupdate

Puza

Senior Member
Dec 11, 2010
106
12
Wakuu habari zenu.
Naombeni msaada wadau takribani wiki sasa kila nikitaka kuupdate antivirus(kaspersky) hata window inasema cant connect to server lakini kubrowse net napeta bila tabu hata kudownload small application, nilijaribu kuuninstal antvrus na kuinstal tena sasa hata kuregister inagoma key nlonazo ni za kwenye cd ya setup.
Msaada tafadhali..............
 
Wakuu habari zenu.
Naombeni msaada wadau takribani wiki sasa kila nikitaka kuupdate antivirus(kaspersky) hata window 7 profession inasema cant connect to server lakini kubrowse net napeta bila tabu hata kudownload small application, nilijaribu kuuninstal antvrus na kuinstal tena sasa hata kuregister inagoma key nlonazo ni za kwenye cd ya setup.
Msaada tafadhali..............
 
Back
Top Bottom