Nashindwa Kumwambia

sikiliza mpenzi ni kwambie,, SAMAHANINI SANA WADAU KAMA NITAWAKERA ,napenda kutanguliza hilo kwanza ,, mimi ni muislamu na katika dini yetu ,mtume wetu muhammadi ,mke wake wakwanza kabla hajafa, yule mke ali mpenda muhammad s,aw kwanza ,na alitafuta ushauri kwa watu pia ,na aka elezwa kua amfate face 2face ,amwambie ili amuoe, na mungu aka watilia baraka walipo funga ndoa yule bib khadija yy alikua mkubwa ,kuliko muhammad ,lakin kutokana ni jambo la kheir ,allah ali mrejesha ujana, kwahivyo dear, kama una mpenda kwa maisha ya ndoa mwambie ,hiyo s vibaya, kusema neno ILOVEYOU haija hala lishiwa kwa man tu, ata sisi tuna weza kuambia ila pia,ila sio kwa pepo la zinaa,kwa jambo la kheir,na tumai uta nielewa ukisoma ,:A S 12:
 
Mkuu unataka tukushaurije? Hebu ondoa utoto hapo, huwezi mpata huyo demu pasipo wewe kumtongoza na kumweleza binti unampenda! Jinsi unavyojizungusha bint anakuona, unamkera pia!
 
Mkuu unataka tukushaurije? Hebu ondoa utoto hapo, huwezi mpata huyo demu pasipo wewe kumtongoza na kumweleza binti unampenda! Jinsi unavyojizungusha bint anakuona, unamkera pia!

Sijui watu wengine mnakurupukaje mwenzio kasema mkaka wewe unasema demu watu wengine bana soma uelewe sio kuchangia pumba hata hujaelewa nini kimeulizwa....................
 
Msaidieni mwenzenu mawazo najua mkiamua mtaweza kumpa namna ya kumpata kiburudisho cha moyo wake
Ila mie sijui hata ummwambieje
 
Sijui watu wengine mnakurupukaje mwenzio kasema mkaka wewe unasema demu watu wengine bana soma uelewe sio kuchangia pumba hata hujaelewa nini kimeulizwa....................
Mimi nawashangaa sana hawa watu
 
Mwambie we kakaaaaaaa, unajuaaaaaaa, mi nakupendaaaaa.......!!
Kama unaona aibu utafute miwani ya jua dada wakati unamwambia.
 
Mwambie we kakaaaaaaa, unajuaaaaaaa, mi nakupendaaaaa.......!!
Kama unaona aibu utafute miwani ya jua dada wakati unamwambia.

Amtoe out tu ampigishe tungiiiiiiiiiiiiiiiiii we mpaka azime kisha anambeba mpaka guest akiamka asubhi akute wapo wote
 
Kuna mkaka anapitaga hapa mtaani kwetu, yaani nampenda ila kumwambia ndiyo nashindwa, usoni naona haya, hata sijui nifanyeje? Nisaidieni pleeeease.
akipita tena MSALIMIE halafu uone atarespondi je.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom