Nashindwa kumwambia akatae

Mmmmh, kweli wadogo zako wana dada
Hongera zao

Jaribu kumweleza mama yenu
Naye akishindwa kutoa ushauri
Mjue 'mfwile'
 
aisee...

kwani akimwambia huyo kanali
amsaidie bila kuvuliwa nguo ni ngumu saana?
hakuna watu woote wa kuwasaidia hata mkopo ili hiyo deadline isipite?

na ukivuliwa nguo na kanali na usipate hiyo fees je?

mbona wanawake weengi mnafikiri hizo k zenu ni assets?.......

muulize huyo mdogo wake first je yuko tayari dada yake akavuliwe nguo huko ili yeye asomeshwe????
 
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Yaani hizi ndude zimekuwa mali kuliko malighafi

Kuna mmoja aliwahi vuliwa akitegemea kupewa gari akaishiwa kupewa hela ya sabuni tu
 
aisee...

kwani akimwambia huyo kanali
amsaidie bila kuvuliwa nguo ni ngumu saana?
hakuna watu woote wa kuwasaidia hata mkopo ili hiyo deadline isipite?

na ukivuliwa nguo na kanali na usipate hiyo fees je?

mbona wanawake weengi mnafikiri hizo k zenu ni assets?.......

muulize huyo mdogo wake first je yuko tayari dada yake akavuliwe nguo huko ili yeye asomeshwe????

The Boss hii dunia iache tuu!
Kina dada wana attempt sana na inapofikia wakati mgumu binadamu hufanya lolote ili aishi. Hebu fikiria kibaka (mwanaume) anakaba kabari ili aishi. Huyo anatumia mikono. Je huyu kibaka angekuwa mwanamke angefanyaje? Si angeuza k yake?
 
@geneva of Africa, baba mngoni, mama mchagga

12/2/2012 is a deadline kulipa fee ili uruhusiwe kufanya mitihani pale CBE, mdogo wake kalazimika kurudi st Kanumba hii ni baada ya baba yao kufariki two years ago.

Huyu binti ana ofa ya kuwa hawala wa Kanali alijuana naye alipoenda kumtembelea classmate wake (nurse) kazini na kukuta akimuhudumia.

Nilimuuliza jamaa (KANALI ) ana ukimwi.... akanijibu her classmate (O-LEVEL swahiba) kamwambia kwa mujibu wa vipimo walivyonavyo jamaa hana ngoma.

Note: take home yangu 520 000 na nina wadogo kibao anajua sina namna ya kumsaidia kifedha labda kimawazo.

Hebu nisaidie hapa Mary: Mdogo wake nani???................. then unasema, huyu binti....ni nani????...........

Hayo majibu ya vipimo vya huyo kanali ni vya lini???!!!.....kama mtu mwenyewe kila amuonaye anamtaka, utajuaje kama yuko salama kwa kuambiwa na mtu mwingine???!!!!......................

Heri ukakope pesa, kuliko kujidhalilisha hivyo.............Pole.
 
The Boss hii dunia iache tuu!
Kina dada wana attempt sana na inapofikia wakati mgumu binadamu hufanya lolote ili aishi. Hebu fikiria kibaka (mwanaume) anakaba kabari ili aishi. Huyo anatumia mikono. Je huyu kibaka angekuwa mwanamke angefanyaje? Si angeuza k yake?

ni umalaya plain and simple...
mshahara wa laki tano....unafikiria kutoa k ili ufanikiwe zaidi?
wasio na kazi je?
wenye mishahara ya la mbili na mke na watoto?
huo mshahara huwezi nunua charahani ukawa unashona nguo na kuuza
na kuongeza kipato?
huwezi kukopa kwa mshahara huo ukalipa kidogo kidogo....?

hapa ni njia ya kujustify umalaya tu..baasi....
 
Mmmmh, kweli wadogo zako wana dada
Hongera zao

Jaribu kumweleza mama yenu
Naye akishindwa kutoa ushauri
Mjue 'mfwile'
hajashindwa kutoa ushauri
kinachotakiwa ni pesa na sio maneno ya kuliwaza
 
ni umalaya plain and simple...
mshahara wa laki tano....unafikiria kutoa k ili ufanikiwe zaidi?
wasio na kazi je?
wenye mishahara ya la mbili na mke na watoto?
huo mshahara huwezi nunua charahani ukawa unashona nguo na kuuza
na kuongeza kipato?
huwezi kukopa kwa mshahara huo ukalipa kidogo kidogo....?

hapa ni njia ya kujustify umalaya tu..baasi....
jaman nieleweni
huyu binti ni rafiki yangu na hapa naizungumzia familia yao
 
Hebu nisaidie hapa Mary: Mdogo wake nani???................. then unasema, huyu binti....ni nani????...........

Hayo majibu ya vipimo vya huyo kanali ni vya lini???!!!.....kama mtu mwenyewe kila amuonaye anamtaka, utajuaje kama yuko salama kwa kuambiwa na mtu mwingine???!!!!......................

Heri ukakope pesa, kuliko kujidhalilisha hivyo.............Pole.
1.mdogo wake huyo binti anayesoma CBE (JUST MY FRIENDS)
2.nI KUjilipua katika hali ya usalam sasa niambiani afanyeje??????
 
aisee...

kwani akimwambia huyo kanali
amsaidie bila kuvuliwa nguo ni ngumu saana?
hakuna watu woote wa kuwasaidia hata mkopo ili hiyo deadline isipite?

na ukivuliwa nguo na kanali na usipate hiyo fees je?

mbona wanawake weengi mnafikiri hizo k zenu ni assets?.......

muulize huyo mdogo wake first je yuko tayari dada yake akavuliwe nguo huko ili yeye asomeshwe????
huyu kanali anataka hawara as mkewe yupo Mwanza
kanali yupo Arusha so anaitaji huyu binti awe visiting friends
 
jaman nieleweni
huyu binti ni rafiki yangu na hapa naizungumzia familia yao

wewe sio rafiki yao,wewe ni adui wao...
msaada pekee ni kumkuwadia wanaume?
huwezi kumkopea kwa watu?
huwezi kumkopesha charahani ashone adundulize ajisomeshe mwenyewe?

na kama mtu hana hata shilingi,anawezaje kufanya application kwenye chuo?????????
 
huyu kanali anataka hawara as mkewe yupo Mwanza
kanali yupo Arusha so anaitaji huyu binti awe visiting friends

wewe unajali saana mahitaji ya kanali
kuliko ya huyo binti.......
na mkewe akirudi ghafla je?.....
 
wewe sio rafiki yao,wewe ni adui wao...
msaada pekee ni kumkuwadia wanaume?
huwezi kumkopea kwa watu?
huwezi kumkopesha charahani ashone adundulize ajisomeshe mwenyewe?

na kama mtu hana hata shilingi,anawezaje kufanya application kwenye chuo?????????
HIVI NIKIKWAMBIA NIMEMSOMESHA form six na first year by the time napata hela za DESI utanielewa????
Huyu binti ananiheshim as anajua mchango wangu yeye kufika hapo alipo, pamoja tumepishana miaka mitatu tu lakini aliwahi kuniambia mimi ni kama mama yake.
 
wewe unajali saana mahitaji ya kanali
kuliko ya huyo binti.......
na mkewe akirudi ghafla je?.....
bosi elewa
hamna binti anayependa uchangudoa
Mimi sijamwambia go foward ila sikumwambia SITISHA.
yupo mwaka wa tatu na nina uchungu sana na hali hii ila hatuna namna ya kupata fedha bila external msaada
 
HIVI NIKIKWAMBIA NIMEMSOMESHA form six na first year by the time napata hela za DESI utanielewa????
Huyu binti ananiheshim as anajua mchango wangu yeye kufika hapo alipo, pamoja tumepishana miaka mitatu tu lakini aliwahi kuniambia mimi ni kama mama yake.

kama wewe ni kama mama yake basi mfuate kanali umuombe pesa wewe
umwambie binti anahitaji kusoma kwanza and foremost...
la uhawara libaki kuwa ni maamuzi ya binti na sio wewe kuchombeza chombeza...

kama huyo kanali ana utu anaweza kuwapa pesa bila kulazimisha kumvua nguo huyo binti....

na kama wewe uko serious na future ya huyo binti huwezi kukosa other options......zaidi ya hiyo....
 
HIVI NIKIKWAMBIA NIMEMSOMESHA form six na first year by the time napata hela za DESI utanielewa????
Huyu binti ananiheshim as anajua mchango wangu yeye kufika hapo alipo, pamoja tumepishana miaka mitatu tu lakini aliwahi kuniambia mimi ni kama mama yake.
Wewe mwenyewe unajua huko anakotaka kwenda sio salama, jitahidi kumtafutia hata mkopo kwa ndugu, jamaa na marafiki zako nna hakika hutakosa Marytina. Mungu atakulipia. Hongera kwa hicho kidogo ulichoweza kumsaidia mpaka sasa, usimwache aangukie mikononi mwa wakware sababu ya shida alizonazo...
 
Story yako inachanganya sana,hebu jibu haya maswali manake kama ni kweli hii ni serious issue;

Wewe unamfahamu huyo kanali? ndiyo uliemtambulisha kwa huyo binti?
Wewe rafiki yako ni yupi..binti wa O'level au wa CBE?
Anayetaka hiyo fee ni huyo binti wa O'level ama CBE?
Na kama binti wa CBE huyo ni mdogo wake anataka kumsaidiaje? maana wewe ndiye unaonekana unataka kujali kuliko dada/wazazi wake.
Halafu kama una nia ya kumsaidia je,wewe huwezi kukopa ili umlipie badala ya zahama ya kanali.

Halafu kilichoniudhi ni namna ulivyojenga hoja kwenye majibu ya HIV ya kanali..ni kama unataka tuhalalishe huyo binti atembee na kanali la sivyo kwa nini story ya kanali umechomekea badala ya kuomba mchango kutoka kwa wadau ama ushauri?

Kwa nini unaamini Kanali anaweza kumsaidia huyo binti?
 
Back
Top Bottom