Nashindwa kujizui... Najihisi natia aibu

c. Jambo la tatu ni kuwa don't go and meet her!!! usije ukapata mfadhaiko tukakusoma kwenye magazeti!!!

Atamwambia vip alilonalo moyoni kama hawataonana!
Labda afuate ushauri wa Binti Maria kabla hawajaonana na huyo anayeutesa moyo wake !
 
Atamwambia vip alilonalo moyoni kama hawataonana!
Labda afuate ushauri wa Binti Maria kabla hawajaonana na huyo anayeutesa moyo wake !

ushauri wa Binti Maria utamsumbua zaidi kwa sababu anaweza kuwa kama nyani fulani hivi.. la maana ni kuweza kutawala kilichomo kichwani kwanza kwani mwili huitikia kutoka mawazoni. Asipoweza kutawala mawazo yake, hawezi kuvitawala viungo vyake. Sasa hatuwezi kuwa na mtu anatembea na sabuni mkononi!!
 
hahahah iko kazi ..hapa no coment ..:)
 
- Tatizo hapa ni kuwa unakuwa umesimamisha huo uume wako kwa hiyo unakuwa na aibu, kama nimekuelewa vizuri.

Sasa kama tatizo ni hilo na sio Domo Zege, basi jaribu kusema nae kwenye simu, andaa mazingira yatakayokufanya uongee nae kwa simu.
Ukishamzoea nadhani huu uume utatulia utaweza kuongea nae in person.

Au, tafuta kitu kitajachozuia huu uume kusimmama na kukuaibisha ili uongee nae... nasikia kuna chupi unaweza vaa zika tight mtarimbo...
I hope nimekusaidia Kiranja Mkuu.... :)

Nasikia ukifunga barafu au zile ice cream za watoto wa primary wakati unaenda kuongea naye uume unanywea kwa muda ila inabidi uwe faster kwenye kuongea kabla hujasimamisha tena.

But you never know baadhi ya wanawake wanapenda kujua kuwa umewatamani so usione aibu kama kusimamisha ndiyo namna yako ya kuonyesha love.

NOT EVERY WOMAN LOVES FLOWERS AND GIFTS ILI ATONGOZWE.
 
nakumbuka zamani wakati bado teen kuna jamaa alikua na matatizo kama haya,yaani yeye ilikua zaidi maana akimuona mwanamke yeyote kavaa kasketi kako juu kidogo ya magoti jamaa anapiga bao live huku kasimama we unashangaa mtu anatetemeka tu ukija shtuka tayari kalowesha suruali,aliniacha hoi siku tulienda kukisalimia kibibi kizee fulani kijijini,basi tumekikuta kinaota jua kina kanga moja unajua tena,tumekaa pale tunamsalimia bibi na story za hapa na pale tunashangaa jamaa jicho linamuiiva ghafla mara tukaona huyo ananyanyuka anaenda ******,lol kurudi kumbe alishajilowesha tayari zamaani baada ya kumchungulia bibi,jamaa sijui alikua na uchu wa namna gani.
 
Kuna mwanamke nampemda sana.
Kila nionanapo nae
uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu.
Matokeo yake ni kwamba nashindwa kuongea naye.. Nabaki nimeinama ili kuficha aibu yangu.
Je nifanyeje ili niishinde hali hii?????
unampenda au unamtamani....
 
Kuna mwanamke nampemda sana.
Kila nionanapo nae
uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu.
Matokeo yake ni kwamba nashindwa kuongea naye.. Nabaki nimeinama ili kuficha aibu yangu.
Je nifanyeje ili niishinde hali hii?????

Wewe umeoa? au ndiyo unatafuta mchumba ili uoe?
Any way.......rekodi jinsi unavyojisikia iwe kwnye CD n.k jieleze kwa huyo kimwana wako matatizo yako yooote...
Ikishindikana usife moyo utapata mwingine "oneday", hii ni dunia huwezi kupata kila unachotaka, sawa?
 
We bwana mdogo tafuta mchumba uoe kwani kusimamisha si ishara ya upendo. Wewe una mfadhaiko na si upendo na ukiendelea hivi unaweza kubaka. Mwanaume huvumilia Bwana acha kuonyesha udhaifu mkubwa
 
nakumbuka zamani wakati bado teen kuna jamaa alikua na matatizo kama haya,yaani yeye ilikua zaidi maana akimuona mwanamke yeyote kavaa kasketi kako juu kidogo ya magoti jamaa anapiga bao live huku kasimama we unashangaa mtu anatetemeka tu ukija shtuka tayari kalowesha suruali,aliniacha hoi siku tulienda kukisalimia kibibi kizee fulani kijijini,basi tumekikuta kinaota jua kina kanga moja unajua tena,tumekaa pale tunamsalimia bibi na story za hapa na pale tunashangaa jamaa jicho linamuiiva ghafla mara tukaona huyo ananyanyuka anaenda ******,lol kurudi kumbe alishajilowesha tayari zamaani baada ya kumchungulia bibi,jamaa sijui alikua na uchu wa namna gani.

huyu jamaa alikuwa na pepo kisugujila...sio bure hata kidogo
 
very true
sasa akiwa mpenzi wak mtashinda na kukesha mkifanya ngono au???

hizo tamaaa kiboko......you need some maombiz sema tu sina upako

Bht,

Umenichekesha kweli,lol..usiwe unamlima mkuuu namna hiyo
 
Kama wewe unashindwa kujizuia,sijui kwa nini ujiite Senior Member.
Kama unashindwa kujizuia,what you have to remember ila binadamu ana roho ya Mungu,ambayo ni zawadi yake kutoka kwa Mungu,ambayo ni integral part of himself,of every human being, kumsaidia katika maisha yake ya kila siku,ili aweze kufanya maamuzi ya hekima.
Hii ni roho ya Mwenyezi Mungu ambayo anakuwa nayo from a very early age,4,5,or 6 years of age,wakati anapoanza kuzungumza maneno coherent.
Hilo ni jambo la kwanza. Jambo la pili,katika Dini ye Yesu Kristu,tunafundishwa kwamba baada ya Yesu kufundisha Duniani,na baada ya kuondoka,Yesu amewazawadia watu wote,siyo Wakristu wote,siyo wafuasi wake wote,isipokuwa watu wote,Roho ya Kweli,Roho ya kuwaongoza katika ukweli wote,siyo ukweli wa Dini tu.
Kwa hiyo kwanza kuna roho,ruhani kutoka kwa Mwenyezi Mungu,ambaye anafanya kazi kwa ubia,emphasis kwenye neno ubia,kwa sababu ina maana kwamba binadamu pia ana wajibu wa kufanya kazi,labda 90% na ruhani wake 10%,kwa hiyo emphasis kwenye neno ubia.
Halafu ipo Roho ya Kweli iliyoshuka wakati wa Pentecoste,again,siyo kwa Wakristu tu,isipokuwa kwa watu wote Duniani.
Au unaweza kusoma vinaya kama huna self control. Zipo sheria pale katika vinaya,kwa wanaume na kwa wanawake;vinaya pamoja na dharma vinaweza kukusaidia.
Kwa hiyo natamani kwamba fundisho kuhusu roho wa Mungu na Roho wa Kweli,ingekuwa ndio somo la kwanza la Dini,kwamba ndio ahadi yetu kwamba binadamu wote ni ndugu,na Mungu ni Baba yetu.
Ingekuwa ndio ajenda ya kwanza kabisa katika siasa zetu,kumueleza kila mtu aliyeshika maksai,au anayesukuma mkokoteni;kwa tufanye kazi kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu kulijenga Taifa letu.
 
Pole sana haya yote ni mapenzi ya kawaida sana maana hata kupenda ndio kuna shida yake hiyo
 
Inaelekea unapenda sana ku do, ukimwona wawaza kitandani thats why unasimamisha huo uume. anyway just tell her your feelings, hata kwa kutumia simu.
 
Mh mshikaji ulikua kifungoni kwa muda nini? kwa hali ya kawaida ni ngumu, hicho ni kiwingu kilichochanganyikana na domo zege we cha kufanya tembea na Ice ikisimama tu unagusa pengine mashine ikipata ubaridi labda itapoa halafu itakosa nguvu ya kugangamala kazi inabaki domo hilo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom