Nashindwa kuelewa

Jamani naomba kuuliza, hivi mungu anaweza kumwambia mke wako wa ndoa iliyo dumu mwaka mmoja eti akuache kwa kumuotesha usingizini
"Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno" Mhubiri 5:3
Pengine alikuwa na kashughuli na mshikaji mchana then akadanganywa akuache halafu usiku akayaota then anajidai kaoteshwa na Mungu...Mwambie sidanganyiki
 
Hiyo ni mipango ya shetani. Mungu hawezi kuwatenganisha aliowaunganisha.
 
"Maana mimi nakuchukia kuachana, asema Bwana, Mungu wa Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema Bwana wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana. " (Malaki 2:16).
 
Jamani naomba kuuliza, hivi mungu anaweza kumwambia mke wako wa ndoa iliyo dumu mwaka mmoja eti akuache kwa kumuotesha usingizini

huyu amejiotesha mwenyewe...........................Mwenyezi mungu anachukia sana talaka.................soma Malaki 2:13-16
 
vitoto vya balekhe vimeongezeka sana............... kuna haja ya teen forum aka club10
 
Inawezekana sana tu. Muambie asubirie hadi aoteshe next husband ili akitoka hapo kwako aende moja kwa moja kwa huyo #2
 
Huyo anatumia mgongo wa dini/imani kuhalalisha tamaa zake kwa wanaume wa nje.......Ana pepo huyo aombewe!
 
Jamani naomba kuuliza, hivi mungu anaweza kumwambia mke wako wa ndoa iliyo dumu mwaka mmoja eti akuache kwa kumuotesha usingizini
Hayo ni matokeo ya tabia zenu za kulazimisha mapenzi(mtu hakufeel unajifanya kumrubuni mpaka akupende)ukijiliwaza eti with time atakupenda na maisha yatasonga,...maake siamini mwanamke mnayependana na kuheshimiana kuthubutu kukueleza upuuzi wa mambo kama hayo,...anyway hilo unalo mkuu_na inabidi utafakari na uchukue hatua...pole sana
 
Back
Top Bottom