Nashindwa kuamua jamanii!

Babygood

Member
Jan 24, 2011
11
3
Kuna men tulikua tunapendena sana, ghafla akaniambia mi naona tuache kwanza kwa sasa maana mimi bado sijajiweka vizuri kimaisha kama imepangwa time will tellna aliniambia tu kwenye simu, nikajaribu kumwambia tuonane face to face tuongee haikuwezekana! nashindwa kuelewa atakua amepata mtu mwingine? lakini mimi bado nampenda na sielewi kama ananipenda au isu ni maisha anayaogopa? naomba ushauri niendelee na maamuzi mengine au vipi?
 
Huyu hana lolote mpotezee anza mbele hakuna kitu hapo!
 
Kuna men tulikua tunapendena sana, ghafla akaniambia mi naona tuache kwanza kwa sasa maana mimi bado sijajiweka vizuri kimaisha kama imepangwa time will tellna aliniambia tu kwenye simu, nikajaribu kumwambia tuonane face to face tuongee haikuwezekana! nashindwa kuelewa atakua amepata mtu mwingine? lakini mimi bado nampenda na sielewi kama ananipenda au isu ni maisha anayaogopa? naomba ushauri niendelee na maamuzi mengine au vipi?
Maswali unayojiuliza hapo kwenye RED mwenyewe ameishakujibu hapo nilipoweka rangi ya BLUU
 
1.Hakuwa tayari huyo alikua anajaribu,huwezi kumwambia mtu unampenda bila kuwa umejiridhisha kama unampend kweli.

2.Inawezekana pia kwa kipindi mmekuwa pamoja amegundua mambo flani ambayo hamuendani

Nikuulize,Ulishampa vituzzzzz?
 
Dalili ya mvua ni mawingu, endelea tu na maisha yako huyo anaonekana hakuhitaji tena.
 
Akufukuzae hakuambii toka. Kama mlishaduu tena (and of cause i know tayari) ndo umeshaachwa wala usiumize ubongo tafuta replacement.
 
Inauma sana aisee ghafla?? Hapo mama anza maisha mapya tu mtu akikuambia sikutaki ndio mwisho wa habari
 
wee baby! umesimama kituoni, daladala imekuacha inakuambia haijakua kubwa ya kuweza kuku-accomodate, afu unasema unashindwa kufanya maamuzi? simama hapo hapo labda ikifika mbagala igeuizia njia hiyo ikupeleke mwenge japo ulikuwa unaenda tabata! unaniudhi!
 
Kuna men tulikua tunapendena sana, ghafla akaniambia mi naona tuache kwanza kwa sasa maana mimi bado sijajiweka vizuri kimaisha kama imepangwa time will tellna aliniambia tu kwenye simu, nikajaribu kumwambia tuonane face to face tuongee haikuwezekana! nashindwa kuelewa atakua amepata mtu mwingine? lakini mimi bado nampenda na sielewi kama ananipenda au isu ni maisha anayaogopa? naomba ushauri niendelee na maamuzi mengine au vipi?

Hapo kwenye nyekundu.
 
sometimes ni kumshukuru tu mungu hujui kakuepusha na nini, hapo kaonyesha kabsaa hana msimamo angekuja kukutesa sana tuu najua inauma lkn ishatokea muombe mungu akusaidie akujaze nguvu pengine ndo unatayarishwa kupata mume wako yule km alivyoonyesha alikuwa mpita njia tuu
 
Kuna men tulikua tunapendena sana, ghafla akaniambia mi naona tuache kwanza kwa sasa maana mimi bado sijajiweka vizuri kimaisha kama imepangwa time will tellna aliniambia tu kwenye simu, nikajaribu kumwambia tuonane face to face tuongee haikuwezekana! nashindwa kuelewa atakua amepata mtu mwingine? lakini mimi bado nampenda na sielewi kama ananipenda au isu ni maisha anayaogopa? naomba ushauri niendelee na maamuzi mengine au vipi?

Uishaaambiwa hvyo na mpenzi ujue hapo huna chako....dah pole sn.
 
hiyo ni dalili kubwa kuwa jamaa amekuchoka, sis wanaume weng 2napenda viji-stress kidogo, huwa vinaongeza utamu, mwanamke ambae hakupi chaleng ni rahis kumwaga. so my dada nakushaur ubadili mfumo wako wa maisha/Mapenz, kuna wimbo wa fid q, unaitwa USINIKULI HARAKA
 
Kuna men tulikua tunapendena sana, ghafla akaniambia mi naona tuache kwanza kwa sasa maana mimi bado sijajiweka vizuri kimaisha kama imepangwa time will tellna aliniambia tu kwenye simu, nikajaribu kumwambia tuonane face to face tuongee haikuwezekana! nashindwa kuelewa atakua amepata mtu mwingine? lakini mimi bado nampenda na sielewi kama ananipenda au isu ni maisha anayaogopa? naomba ushauri niendelee na maamuzi mengine au vipi?

Ni PM basi
 
Kwanini unahukumu kwa sentensi moja na sio vitendo? Ni kweli asimilia 98% jamaa ameshaanza.Lakini si kuna hizo asilimia 2% ambazo inawezekana ndiye Mungu aliyekuandikia. Unajuaje inawezekana amepata stori yako au umbea ambao umemuumiza na kumchanganya kiasi hata kukuambia anashindwa..

Ushauri wangu..fikiri asilimia 98% funga mlango..lakini pia fikiri hizo asimilia 2% kuwa Neutral..watch mwenendo wake na usiamini anachokwambia..vuta muda hata kama atakuja omba msamaha kesho.. Kama kweli Mungu alipanga ni wako...baada ya muda utajua tu.lakini kama si wako kuwa Neutral upungukiwi na kitu..
 
We ulijiachia ovyo mchizi kakugonga weee,hadi kakuchoka ndo kaamua kukushit kiu2 uzima..pole sana,huna chako hapo tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom