Nashindwa access blackberry service, simu ni bb 9530 verizon toka usa

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wanajavi naomba msaada, nina blackberry 9530 ya wireless verizon imetoka USA, nimelipia blackberry service ya tigo, inakataa funguka. Pls naomba msaada
 
Kama inagoma kuconect,uenda Pin yake bado imeshikiriwa na verizon.Apo una jinsi labda uchenji emei
 
Kuna wataalam hapa dar wanaweza kuifungua ila ndio zinakutoka...nenda mtaa wa mosque uliza fundi simu muna...atakusaidia ila dola 80 kama sikosei!!
 
Huwez access BIS kutoka simu za verizon & at&t outside america..tafuta nyingine tuu
 
Ninayo nimeangaika hadi basi yangu ni bbr 955
Tch scrn!kuna kitu kinaitwa verizon interprise pin ndo kasheshe ila kuna mtu kanielekeza zantel kwamba wanategua sijaenda kama ukienda nijuze!mimi nimebaki kupiga kupokea sms basi hadi salio ni kwa kurusha siwezi kuulizia salio mpaka nitumie mfumo wa kupiga!
 
Habari wadau, baada ya kushindwa kufungua si yang ya b.berry storm 2/9530 sasa naamua kuiuza, kwenye upande wa.kupiga simu ,kutuma sms kwa kutumia mtandao wowote ipo ok, na ni bado mpya kabisa
.Bei ni laki 4 tu. Maongezi yapo au kama unasimu ambayo tungependa ku exchange tunaweza zungumza pia. Ni PM kama upo intrested. Asanteni
 
kwa kweli mi ninayo bb 9530 nimehangaika nayo sasa nimeamua nii-park tu maana halina msaada wowote! Nafkria niigawe tu.
 
Kaka tafadhari tuelekezane hao mafundi
/ wataalamu wanapatikana wapi, maana hii simu nimenunua bei gari sasa nashindwa pata bb servic
 
Unaweza kuweka browser ya opera mini ya blackberry ukaweza kupata mtandao kama simu nyingine lakini huwezi kutumia hiyo browser ya rim kwani verizon sijui wameifanyaje hiyo system.
 
Mkuu hiyo browser ya opera naiwekaje , naomba maelekezo kidogo. Utakuwa msaada sana maana shida yangu kuu ni kupata internet.
 
Back
Top Bottom