Nashawishika kusema Jimbo la Igunga linakwenda CHADEMA!!

BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
481
Hii ni wazo langu binafsi na ninahisi na kushawishika kuwa jimbo la fisadi mvua gamba sasa litakwenda CHADEMA!

Sijui kwanini ninawaza hivyo tangu jana ninajiwa na ndoto hii kuwa jimbo la Igunga ninakwenda upinzani kwani wananchi sasa wamechoka na wanaona utetezi wa haki uko wapi.

Majimbo mengine ni yale la wenzake (Mapacha 3) mmoja kesha jivua gamba hao wawili nao wanajivua muda sio mrefu subirini muone!
na hayo majimbo yote yatakwenda CHADEMA.

Mafisadi ukiona mwenzio ananyolewa ............................................!!
 
Ahaaa...yule alishababu!.....kweli watz mazezeta...yaani wageni km akina rostam/bashe wanakuwa wawakilishi wenu wakati mna watoto wenu wazawa?.....nchi hii inakufa kwa ugonjwa mbaya wa kideli........kwa nini wananchi wa huko tabora wanapenda kuwapa vyeo waasia wakati wana watoto waliowasomesha kwa gharama kubwa?,........huu ni umasikini mkubwa sana wa kufikiri................waacheni akina bashe/rostam na waarabu na waasia wengine wafanye biashara zao na wasituingilie kwenye mambo yetu ya ndani hasa siasa.........................
"watu wa tabora/singida/morogoro/dar mnatuangusha kwa kujifanya watoto wenu wazawa hawajaenda shule mwisho wa siku mnatuletea vimeo bungeni na serikalini"

mbbunge ajaye ni bashe.
 
HTML:
Mbbunge ajaye ni Bashe.

Kwa jinsi hali ilivyo, Bashe anaweza kabisa kuwa mbunge Igunga.
rejea wananchi wa Igunga ambao ndio wapiga kura wameonyesha mapenzi yao kwa Rostam, na Ukimtaja Rostam kwa sasa, Bashe yuko pembeni yake, kwa hiyo asilimia kubwa inaonyesha Bashe anaweza kabisa kuwa mbunge pale kwa kusaidiwa na Rostam.
Kitakachomnyima Bashe ubunge ni CCM kutopitisha jina lake na hapo ndipo Chadema wanaweza kuchukua jimbo kwa ulaini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom