Nashauri wote msome hii Thread, especially wanaume.

Mkuu unajipa phsycological food kwamba story hii ni ya kupika!! Ukweli ndio huo inabidi watu tubadilishe tabia na mwenyezi atatusaidia tunusuluike na janga hili!!
 
NANI ALIKUDANGANYA KUWA CONDOM INAZUWIA MAAMBUKIZI? KAMA HAIZUWII MTU ASIPATE MIMBA, IWEJE IZUWIE MTU ASIAMBUKIZWE HIV VIRUS?

WAJINGA NDIO WALIWAO; NA MTALIWA KWELI KWA UGONJWA HUU :confused:

Kondomu inazuia sana tena sana kama ikitumiwa vizuri, nimejaribu kufanya tathmini ya misele yangu siku za nyuma nikagundua kwamba kama siyo KONDOMU ningeshavuta kamba, ila namshukuru Mungu maana kabla ya kuoa miaka nane iliyopita tulienda kupima na mwenzangu tukakuta mambo poa. baada ya hapo nikaamua kutulia tuli!
 
Ama kweli tunalo, miaka hii ni patashika, kuti kavu tumekalia nalo ndo linakatika na sijui ka hata huko chini tutasalimika' maana ni war 'maambasada' wenzangu! duh! cjui nianze ku CHANT DUNG BABYLON, coz wao ndo source! bt mcjali sana nao wafwaa! ' if it is Ei Di n' S' WORRY NOT planter has brout GANJAH' will KILL IT! y' ovastan'
 
Sababu kuu 2 hii hadithi ni kutunga
1/ Miaka 17 kumkuta mwanafunzi wa chuo kikuu ni nadra sana tena hata hao wachache ni watoto wa watu wenye uwezo tena wanaotoka maeneo ya mjini.
2/ Idadi ya watu aliowaambukiza imezidishwa sana, haiwezekani mtu akatembea na watu 4 kwa siku 365 za mwaka(ina maana hapati hedhi, haugui, hakosi wateja n.k)
 
WEWE NAYEE...kwani kila ukitembea na mtu mwenye ngoma kama zawadi ni LAZIMA 100% upate ngoma???....au tumesahau kuwa lazima kuwepo na michubuko na kuwepo na hao hiv waweze kupita kwenye michubuko hiyo...NAMPENDA ZUMA na nafanya kama yeye alivyofanya ...ZUMA STYLE FOR AFRICANS TO SURVIVE through aids....
 
What ever coming to you in this life God has plan for you and with his grace you can enjoy life. People can be cruel to but you do not be crueler inorder to get even with the people. Always God is there to heal our wounds if only you could give Him a chance. Otherwise ni ziwa la moto tu.
 
This is a very shocking story but aimed at conveying the message to equally the same for both men and women. It seems that Zawadi went through horrible and cruel moments...but I still think if there is anyone nearby her, he/she need to advise her to change that vegeance path she have decided to take......she need to understand that revenge is not solving the problem but adding more problems....and she will never get satisfied......"she is avenging herself".

Among 4,640 men she Claim to have infected by HIV..it is very possible that even the men in her entire family and relatives are already in that circle............she's therefore diging her own grave..........

She need to take example of some people who turned negatives (HIV infection) into positive ways through creating awareness among the community and ended up behing heroes........"I rember the girl by the name Leah".....she was a primary school girl who went through the same difficult moments and ended up being HIV infected by the daladala Kondakta.......but...she used her status to create awereness (Through Clouds FM...Kipindi: Njia Panda....by the then Sebastian Ndege).....I hope Leah is now in heaven...if heaven exists"....so Zawadi still need to do the same.......
 
Habari ni nzuri na ya kusikitisha lakini inaonekana kama ya kutia chumvi zaidi na sie Zawadi aliyeandika bali mwandishi anauzoefu na donners. Habari imelenga zaidi kutisha kuliko kusema ukweli. Wanaume 4,640, kama wote walilipa wastani wa buku 10,000 tu yaani katengeneza kama 46,400,000 hizi zingetosha kulipa ada na kulipia wengine, hazijakatwa kodi na chakula, pombe guest analipa mwanaume kama story inavyosema.

Jacob Zuma alitembea na msichana mwenye HIV na hakupata ukimwi iweje kila aliyetembea na zawadi basi kaupata bila hata kuwapima? Pia chanzo cha habari ni Zawadi mwenyewe lakini conclusion ni nchi, Tanzania na ilaumiwe serikali. Mie naona maswali zaidi sababu kuna michongo ya namna hii watu kupika story na kupiga hela kutoka kwa wafadhili.

Wasichana wengi wanaojiuza hujitambulisha kama wanafunzi wa vyuo hata kwa yule ambaye hajafika hata Secondary, story ingesema Zawadi alisoma shule gani, na matokeo gani alipata manake mlimani kuna body ya mikopo pia inatoa udhamini hata kama wa kuunga unga kama alipata admission.

Kama ameamua kugawa ukimwi kwa watu wengine ni hiyari yake. Kwa wanaharakati wa mambo ya ukimwi wanaweza kunisaidia, kuna picha inaitwa Hyena Square (uwanja wa fisi) inaelezea habari inayotaka kuhusiana na hii, sababu Zawadi sex worker yuko pia katika kundi moja na waliocheza hiyo filamu na waliahidi kutoa filamu nyingine sterling akiwa Zawadi dada mmoja mteja wa Tandare uzuri (sina hakika kama ndio huyu). Angalizo isijekuwa script ya cinema ndio hii story.

Sipingi hii story lakini napendekeza taarifa zaidi ili watakao soma wajiridhishe na nini hasa kimetokea.
 
By the reporter's calculations, Zawadi would have infected about 4,640 men with HIV in the last three years, at the rate of four me per day. These are men who do not want to use condom, or those who fall victim of Zawadi's buttocks-wriggling tactics.

kwa hali hii zawadi kweli alighafilika sana, lakini sidhani kama ndio njia sahihi aliyochukua kutuua hivyo. kwa sababu nikipiga hesabu hapa naona kama inatakiwa iwe hivi:

4,640!

jibu naona kama nchi nzima kwisha habari yetu!!!!!!!!!!

Ni kweli kama hujapima, kapime leo ili uondoke kwenye kundi hili au uthibitike kuwa ni member ili utubu na kumrudia mungu na usiwe kama Zawadi.
 
oh! my jah rastaa! this was ril ril,tragic oh! horib... yees! or ofkoz! ni mbaya sana yu kant imejini, a msichana kufanya kitu kibaya vile eti kulipa kisasi! jamani huu msala wa sie wote mmh! ah! nini? ucjidanganye we! eti it will kill it enh! ukivuta enh! basi huyu dada kafanya SENSA, Jamani enh! 2sifanye SENSA enh! Wandugu tuoneane imani, SENSA si nzuri jamani! enh! MOLA TULINDE NA SENSA.
 
"Kuna passages nyingi tu kuonesha hii stori ni ya kupika. Chakula kinaweza kuwa 5% , 95 % ni chumvi"

Hata kama ni mapishi... imagine those 4,640 men, each of them have two or more girlfriends... and those girlfriends too also have some branches.... Ukimwi hauwezi kwisha namna hii... Nobody wants to be stigmatized, so hata kama mtu akigundua anao he/she will never reveal, and with ARVs in line, they keep looking good... THIS IS SAD!!!
 
hii itakuwa safi kwa wazinifu na walevi na wale wasioheshimu ndoa zao.
tukipata watu kama zawadi mia tuk, wazinifu wote watakufilia mbali.
 
Kuna ukweli mkubwa na uongo unaolingana pia..............ila lisipuuziwe na wadau hasa wanaume
 
The attachment shows how AIDS could easily spread
 

Attachments

  • AIDS Spread.jpg
    AIDS Spread.jpg
    102.8 KB · Views: 40
huwaga nashangaaga sana nikikutana na mwanamke halafu akadai nitumie mpira. dah sidhani ni akili za kawaida hizo
 
Back
Top Bottom