Nashauri mkuu wa wilaya ya Hai, Norman Sigala apewe waziri wa elimu

richone

Senior Member
Apr 3, 2012
146
35
Nashauri iwe hivyo kwasababu huyu bwana ameweza kusaidia ujenzi wa shule za kidato cha tano na cha sita katika wilaya ya Hai ukizingatia kila tarafa amejitahidi kujenga shule za kidato cha tano na sita wilayani Hai. huyu bwana anapenda elimu sana ingawa bado hajatupa mahesabu ya pesa za babu na ndg zetu alizo changisha namuomba kikwete amkumbuke kwenye ufalme wake naamini atampa heshima sana. na hii itasaidia kukipoteza chama cha magamba vibaya.
 
anapenda sana elimu........kwahiyo apewe uwaziri jamani hizi shule za kata zinazalisha nini? Logic na Reasoning ziko wapi??
 
Ushauri huu ni kutokana na jisi nchi hii ilivyo set vigezo vya uongozi. Hii inatoka na kuwa magamba viongozi wanafanana na nashauri hili ili walau wamalize muda wao ili 2015 viongozi wa ukweli waingie kazini.
 
Watu wameanza kujipigia debe. Lakini mbona hujatoa sababu kwa nini apewe hiyo nafasi unayodhani anafaa kuiongoza? Sababu ulizoeleza hapo hata kijana wangu wa chekechea hawezi kutoa sababu za namna hiyo.
 
Unaijua wilaya ya Hai wewe au unachonga kule hata kama hakuna mkuu wa wilaya wale watu wanamwamko wa maendeleo binafsi chini Mbunge Mbowe.
 
Nashauri iwe hivyo kwasababu huyu bwana ameweza kusaidia ujenzi wa shule za kidato cha tano na cha sita katika wilaya ya Hai ukizingatia kila tarafa amejitahidi kujenga shule za kidato cha tano na sita wilayani Hai. huyu bwana anapenda elimu sana ingawa bado hajatupa mahesabu ya pesa za babu na ndg zetu alizo changisha namuomba kikwete amkumbuke kwenye ufalme wake naamini atampa heshima sana. na hii itasaidia kukipoteza chama cha magamba vibaya.

kama hatoi mahesabu ya michango itakuwaje akisimamia bajeti ya wizara?
 
huyu bwana ni mtu mmoja ambaye ana akili za kitoto na hana mpango kabisa na elimu anasema eti ualimu ni kimbilio la watu waliofeli,je huyu ni muungwana bila walimu angekuwa mkuu wa wilaya
 
kwanza ameshawakashifu walimu tena awe waziri wa elimu si itakuwa vichekesho zaidi??
 
Back
Top Bottom