Nashangaa

Kowero Fredy

Member
Apr 30, 2011
33
2
Nashangaa sana kwa nini wanaume tumefika hatua ya kuwaita wasichana ni mapepo,viburudisho,na majina mengi mno ya ajabu.sababu kubwa ni kuwa tulishawai kutendwa hapo nyuma.swal langu ni ili IWEJE MUNGU ATUUMBIE MAPEPO YA KUTUSUMBUA WAKATI KWA WATU WA IMANI WANATAMBUA KUWA HAWA WANAWAKE NI KAMA WASAIDIZI KWETU?
 
Mkuu, upo baa gani?
 
We shangaa tu. Wanayofanya ni upepo we acha tu. Nenda kule Joly na kwingineko kama hutarudi hapa na kauli mbiu nyingine. Bahati mbaya zaidi wanalazimisha wapewe mahela hata pale wasipostahili. Si mapepo hayo au? Hebu fikiria mdada anatafuta namba yako kwa udi na uvumba then anakupigia eti wrong namba ,halafu anaanza kutongoza mdogo mdogo , na baadae kidogo tu anaomba vocha , then hela ya saloon, then , then ,then invoice zinafuata tuuuu. Kwetu huitwa vicheche, mboga mboga . etc
 
Usishangea!! sio wote wanaitwa hivyo, ukiona mwamanke anaitwa hivyo ujue anastahili haki ya jina hilo! lkn kwa mwanamke anayejiheshimu na kujithamini hawezi kuitwa hivyo hata siku moja!!!
 
Nashangaa sana kwa nini wanaume tumefika hatua ya kuwaita wasichana ni mapepo,viburudisho,na majina mengi mno ya ajabu.sababu kubwa ni kuwa tulishawai kutendwa hapo nyuma.swal langu ni ili IWEJE MUNGU ATUUMBIE MAPEPO YA KUTUSUMBUA WAKATI KWA WATU WA IMANI WANATAMBUA KUWA HAWA WANAWAKE NI KAMA WASAIDIZI KWETU?

Asante kwa kututetea wadada Kowero..... Lakini hata hivyo naamini si wanaume wote wanaamini na kuita hivyo,z Wanaume wa namna hivyo mara nyingi hufanya hivyo ili kujisikia superior zaidi - yaani kwa kumkandamiza au kumponda mwanamke hapo ndo anajiona ni mwanaume; hana jinsi ya kuprove uanaume wake bila kivuli cha mwanamke... kama unaona wote wanasema/wana muono huo ina maana unazungukwa na wanaume wenzio wanao tumia hayo majina, na mara nyingi wanaotumia majina hayo machafu kwa wanawake hua na tabia moja wote - na mbaya zaidi hawajui thamani ya mwanamke kabisaa pamoja na mama na dada zao. Kama hupendi hio tabia basi kaa mbali nao na tafuta wanaume wanao appreciate wanawake hata kutamka neno chafu dhidi yao wanaona ni upuuzi!!! Mana tayari ni wanaume hawahitaji kumdegrade mdada kujisikia kua wao ni wanaume...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We shangaa tu. Wanayofanya ni upepo we acha tu. Nenda kule Joly na kwingineko kama hutarudi hapa na kauli mbiu nyingine. Bahati mbaya zaidi wanalazimisha wapewe mahela hata pale wasipostahili. Si mapepo hayo au? Hebu fikiria mdada anatafuta namba yako kwa udi na uvumba then anakupigia eti wrong namba ,halafu anaanza kutongoza mdogo mdogo , na baadae kidogo tu anaomba vocha , then hela ya saloon, then , then ,then invoice zinafuata tuuuu. Kwetu huitwa vicheche, mboga mboga . etc

Mfamaji kwenye nyekundu hapo; ni wakati gani mdada anastahili na wakati gani astahili? Inaonekana Wanawake unaovutiwa nao wote ni wa aina moja, acha kuvutiwa na mdada ambae uzuri wake unategemea asilimia 90 ya huduma ili ku maintain, labda kama una uwezo na si bahili. Na pia labda hua unajitangaza saana wakati unatoa sera kua we una mavumba - mwanaume gani ukose kabisa bahati ya kupata mdada ambae haombi ombi? Tafadhali observe wanawake unovutiwa nao....
 
We shangaa tu. Wanayofanya ni upepo we acha tu. Nenda kule Joly na kwingineko kama hutarudi hapa na kauli mbiu nyingine. Bahati mbaya zaidi wanalazimisha wapewe mahela hata pale wasipostahili. Si mapepo hayo au? Hebu fikiria mdada anatafuta namba yako kwa udi na uvumba then anakupigia eti wrong namba ,halafu anaanza kutongoza mdogo mdogo , na baadae kidogo tu anaomba vocha , then hela ya saloon, then , then ,then invoice zinafuata tuuuu. Kwetu huitwa vicheche, mboga mboga . etc

Non sense! ,huko Jolly wanaoenda na kutoa hela ni jinsia gani? wao wanafanya biashara na wanaume,wanaume wasingekuwa wanaenda wale wanawake wasingekuwa pale......wewe kama hutaki kutoa hela au huna za kukutosha wewe mwenyewe usiseme wanawake ni mapepo kwa kuwa wanaomba hela.....hilo la kutafuta namba au kutongoza hata wanaume wanafanya.....stop this nonsense ku justify majina machafu kwa wanawake.....na usisahau wanawake includes mama yako.......nadhani naye basi ni kicheche na mboga mboga.....useless!
 
<p>kwa mnajilii huo ina maana hata wanaume ni mapepo.au wale wadada wa jolly wanawauzia wanawake wenzao?muuzaji na mnnunuzi wote same class!na usijisingizie kupigiwa simu na kuombwa hela ya saloon.unajua sie wanawake tunapigiwa simu ngapi na craps na kuambiwa sauti yako nimeipenda japo ni wrong number sihofii vocha yangu?kama hujajilengesha na ww (kama pepo),mnafikiaje hadi kuombana hela.ulijua wala eeh?umeliwa sasa!
/p>
<p>&lt;p&gt;
We shangaa tu. Wanayofanya ni upepo we acha tu. Nenda kule Joly na kwingineko kama hutarudi hapa na kauli mbiu nyingine. Bahati mbaya zaidi wanalazimisha wapewe mahela hata pale wasipostahili. Si mapepo hayo au? Hebu fikiria mdada anatafuta namba yako kwa udi na uvumba then anakupigia eti wrong namba ,halafu anaanza kutongoza mdogo mdogo , na baadae kidogo tu anaomba vocha , then hela ya saloon, then , then ,then invoice zinafuata tuuuu. Kwetu huitwa vicheche, mboga mboga . etc
&lt;/p&gt;</p>
<p>&lt;p&gt;&amp;nbsp;&lt;/p&gt;</p>
 
Mkituita hivyo it is ur problem not ours! Pia sisi sio wasaidizi wenu; katika mahusiano we are equal partners! U r no better than those u r condeming!
 
Nashangaa sana kwa nini wanaume tumefika hatua ya kuwaita wasichana ni mapepo,viburudisho,na majina mengi mno ya ajabu.sababu kubwa ni kuwa tulishawai kutendwa hapo nyuma.swal langu ni ili IWEJE MUNGU ATUUMBIE MAPEPO YA KUTUSUMBUA WAKATI KWA WATU WA IMANI WANATAMBUA KUWA HAWA WANAWAKE NI KAMA WASAIDIZI KWETU?
hata wanawake wana majina mengi tu buzi, shefa, kislope bwegenazi kwa hiyo ngoma droo
 
huku kwetu mwanamke wako tunaita 'kazi', nyumba ndogo 'kioski', mwanamke mrembo unaemfukuzia 'piece -yani pisi' na kadhalika.. Kwa moyo safi tu yani
 
Back
Top Bottom